Recent content by MPONJI GM

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utapeli waliofanyiwa wanaCCM wa Jimbo la Ukonga haukubaliki, waukatae wapige kura za chuki

    Acheni kutufanya watoto wadogo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo mpaka unafika nje kwa njia rahisi

    Lakini pia Ufafanuzi ulisema sio watu wote wanahusika na huo ukaguzi wa mikataba hebu fuatilia habari kutoka uhamiaji utapata kundi linalo husika na hio ukaguzi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo mpaka unafika nje kwa njia rahisi

    Kwahiyo mlitaka msikaguliwe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo mpaka unafika nje kwa njia rahisi

    Tatizo watu wamesha jazwa ujinga wa kupinga kila kitu kutoka serikalini bila kuwa na taarifa kamili
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo mpaka unafika nje kwa njia rahisi

    Hapana tatizo watu hatujui kufuatilia habari. Hili suala limetolewa ufafanuzi. Tatizo ilikuwa dada zetu walikuwa wanadanganywa kwenda kufanya kazi nje halafu wakifika huko wanaingizwa kwenye biashara nyingine zisizo nzuri. Na baada ya hapo serikali inalaumiwa kwa kutokuwa makini na vibali vya...
Back
Top Bottom