Recent content by Mponda Mponda

  1. M

    JamiiForums Ukweli wa kuwepo, kutokuwepo mitalaa nchini

    Kuwasaidia jamani neno mtalaa lililotumiwa na mwandishi halina makosa, Kiswahili hicho kinakubalika ila hata ukisema mtaala kama wanavyotumia wengi wetu bado hakuna makosa. Hilo laonyesha utajiri wa Kiswahili. asanteni
  2. M

    JamiiForums Msaada nyumba inapovuja

    Habari zenu ndugu zangu wana JF Naomba walio na maarifa wanisadie namna ya kuziba nyumba yangu ambayo mabati yanavuja mno. Ni nyumba mpya na nilitumia haya mabati yanayoitwa ya migongo mipana, nilinunua pale Buguruni, cha ajabu baada ya kuezekwa kuna maeneo kadhaa yanavuja. Nashindwa kuezua...
  3. M

    JamiiForums Swali kwa wanajamii

    Nashukuru ndugu Lucky Sabasaba
  4. M

    JamiiForums Swali kwa wanajamii

    Nawasalimia ndugu zangu na naomba kuuliza ili walio na elimu wanisaidie Swali ni kuwa ninataraji kupata mkopo wa milioni 10 nami ninazo kama milioni tatu kibindoni.Pesa hizo nataka ninunulie gari aina ya Hiace nilitumie kama gari la usafiri kwenda na kurudi kazini lakini pia iwe inasanya abiria...
Back
Top Bottom