Recent content by Mponda mali

  1. M

    JamiiForums Tanzania N/Mkurugenzi mipango na uchaguzi wa CUF ametekwa Mtwara...

    ila yanayotokea mtwara kwa sasa si yakuyapuuzia nasikia wananchi wanapigwa kama punda huko amani imetoweka kabisa kwa vyombo vya dola
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kigogo CUF mbaroni vurugu za Mtwara

    Tuachane na ushabiki wa kivyama twende kweny point ya msingi ivi matatizo ya nchi yetu yanatatuliwa na vyama vya upinzani au na selikali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waraka maalum kwa wana Mtwara na kusini kwa ujumla

    kama umetumwa kwailo umechelewa aya mambo yote miaka yote walikuwa wapi kuwaletea maendeleo wanamtwara
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa JK wamwaga askari mvua mjini Mtwara, fukuto la sakata la Gesi.

    Kwa kusoma alama za nyakati tanzania sio tena nchi ya amani kama ilivyozoeleka wapi viongozi wetu wasirikali wanatupeleka tulikuwa pamoja kwenye kudai uhuru kipindi cha ukoloni leo hii, wengine wamekuwa wakoloni weusi tena miungu watu wanadiliki kutumia vyombo vya usalama kulinda maslai yao...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Gesi Haitoki: Waraka wasambazwa kote Mtwara wananchi kusikiliza kesho bajeti ya Nishati na Madini

    vp ujenzi wa kiwanda cha saruji umefikiya wp or ndo danganya toto kusini kwanzzza vyama baadae
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM wapwaya kwa CHADEMA harakati za uchaguzi JORDAN UNIVERSITY

    Juco chadema inakubalika sindomana Abood anakuwa anawanunuaga wanafunzi kwakuwapa vijisenti na kuwakodishia magari
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tunaomba attachments za budget,ujenzi, utumishi, afya,elimu,maji etc

    Ni kweli wana jf sijaona treat ya wizara ya viwanda na biashara
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Lukuvi kubambikia watu kesi polisi

    kila siku na kaa najiuliza ivi watanzania tuna nia ya dhati kweli yakufanya mapinduzi tunalia sana na lawama nyingi ila ikifika kipindi cha uchaguzi wengine wananunuliwa wakati wenye maamuzi ni si wenyewe wananchi, mtu kama lukuvi sio kiongozi na afai kuwepo pale alipo, aiwezekani akae bungeni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tendwa: Hoja nyingine za vyama vya Upinzani ni za Msingi!

    Adui ni adui ata siku moja awezi kuonekana mwema anataka ajisafishe kwa situation ya democras ilivyo sasa huyu si ndie yule anaebeza upinzani
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mhe. Habibu Mnyaa alifumua upya suala la gesi

    Haitokiiiiiiiiiiiiiiii chezea chinga wee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara na gesi serikali ya CCM inalia na kuhaha sana..,nauliza tena,inatoka haitkoi??

    Walijuwa Mtwara ya miaka ya 70 wananchi waelewa sikuizi Mtwara wanamengi sana sema walikosa wakuwasemea ila wanakiona cha moto magamba
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara na gesi serikali ya CCM inalia na kuhaha sana..,nauliza tena,inatoka haitkoi??

    Walijuwa Mtwara ya miaka ya 70 wananchi waelewa sikuizi Mtwara wanamengi sana sema walikosa wakuwasemea ila wanakiona cha moto magamba
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rasilimali ya gesi kusini(Mtwara vs Lindi) ikifanyiwa mchezo itawasha moto

    nimekaa kusini pale mtwara kinachodumaza maendeleo maeneo ya kule ni wananchi kuchaguwa viongozi wasio wazalendo na upeo mdogo wakuchambuwa mambo, mfano mtwara mjini pale wabunge waliopita wote awajielewi
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Polisi wakubaliana kusitisha maandamano ya Machi 25

    Umefanyaje
Back
Top Bottom