Recent content by mpolomoko

  1. mpolomoko

    JamiiForums Kigwangalla: Nawajua Vigogo 4 waliopanga mauaji ya Wyne Lotter, Jeshi la Polisi liwakamate kabla sijamwambia Rais

    Ila kama unaeajua walio muua yule mwanaharakati wa Tembo siku zote hizo 7 za nini mkubwa? Kamateni wekeni Rumande kama hawana hatia watatoka tu. Kumbuka kuna mtu alipiteza maisha pale na kuharibu image ya nchi yetu kwa ukubwa sana. Zaidi ya hilo mengine yote[emoji106] umecheza vizuri boss...
  2. mpolomoko

    JamiiForums Kigwangalla: Nawajua Vigogo 4 waliopanga mauaji ya Wyne Lotter, Jeshi la Polisi liwakamate kabla sijamwambia Rais

    Dk. Kigwangalla aunguruma leo mjini Dodoma. Atoa ilani ya siku 30 waliovamia kiwanja Njiro, Arusha ikiwemo Mawaziri Wakuu wastaafu kuvirejesha Serikalini Atoa siku saba zingine kwa Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua watuhumiwa wanne wa ujangili wanaotuhumiwa pia kwa mauaji ya Wayne Lotter...
  3. mpolomoko

    JamiiForums Kigwangalla: Nawajua Vigogo 4 waliopanga mauaji ya Wyne Lotter, Jeshi la Polisi liwakamate kabla sijamwambia Rais

    Namwamini sana Hamis kwenye utendaji wake, sina shaka na Uadilifu wake wala ujasiri wake sijawahi kuutilia shaka. Lakini swali la maingi la kujiuliza ni kwanini Awataje sasa? Na kuwataja itasaidia nini? Kwanini kama anawafahamu hatua nyingine za kisheria zingechukuliwa na angekuja kutupa...
  4. mpolomoko

    JamiiForums Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Wap mkuu na sh.ngapi
  5. mpolomoko

    JamiiForums Katavi University of Agriculture (KUA)

    Hakuna chuo kama hiki duniani, niko katavi kwa sasa, hakuna chuo kama hiko.. Umekisikia wapi mkuu??? Nachojua ndio kipo kwenye mpango wa kuanzishwa ila hata hawajaanza kufyeka eneo husika ili ujenzi uanze.
  6. mpolomoko

    JamiiForums Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dawa ya kipanda uso ni nini dr? Na husababishwa na nini???
Back
Top Bottom