Recent content by mpogole

  1. mpogole

    JamiiForums Tanzania WANASHERIA: Hivi ni sahihi Rais kudukua mawasiliano ya wateuliwa wake?

    Wanyooshwe tu aswa
  2. mpogole

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Watakaolalamikia OC Ndogo!, Waache Kazi!. Ni Kauli ya Kujenga Nidhamu au Udikiteta Tuu?!.

    Ndio awaache waibe wanyoshwe tu wamezid
  3. mpogole

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South African newspaper, dated August 18, 1985. ================ " Pretoria has been made by the White mind for the White man. We are...
  4. mpogole

    JamiiForums Tanzania Majina ya wabunge ‘majangili’ siri kubwa Kinana yumo

    Hakosi waziri lukuvi anamaliza tembo wote ruaha katibu wake alikamatawa na meno akitumia ambulance but inshu ikazimwa
  5. mpogole

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri Joto nyuzi 100

    Nasikia waandishi wa habar washaitwa soon tutegemee baraza
  6. mpogole

    JamiiForums Tanzania CCM: Bado sisi tunataka serikali mbili hatutaki serikali tatu ndo msimamo wa chama.

    Watu wanaogopa serikal tatu ukiwauliza wanasema gharama?ukwel ni kwamba serikali tatu itawangoa mafisad maana zenj uhh watakuwa hawana chao
  7. mpogole

    JamiiForums Tanzania Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Habar zilizopo alikuwa chizi kabisa ivyo alipAta itirafu ya akili
  8. mpogole

    JamiiForums Tanzania JK aonewe huruma!

    Waziri mkuu awe mwakyembe
  9. mpogole

    JamiiForums Tanzania Nape: Msajili wa vyama kashauriwa vibaya swala la Balozi wa China

    ata mwenyekiti wake wa chama alisema kuna wakati anaposimama hajui kuwa anataka kuongea nini???ye mwenyewe uwa anapata tabu na kauli zake form aliyefeli na degree ya kitapeli matokeo yake upuuz kumbe zao la mbio za mwenge ahsante makamba senior kwa kutoa taarifa
  10. mpogole

    JamiiForums Tanzania Msindai (CRDB) akalia kuti kavu baada ya kuvamia jimbo la Tundu Lissu

    Anaitwa mgana tumbo msindai jitu kubwa lisilo na akili shame on u ....
  11. mpogole

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR Mageuzi juu ya Katiba Mpya - Sept 21, 2013

    nipo arusha mambo fm bado nimeacHA NA KUFANYA KAZI NASUBIRIA KUPATA MAMBO
  12. mpogole

    JamiiForums Tanzania Magufuli atoa tafsiri ya maneno "PEOPLES POWER". Awafagilia wanaoitumia salamu hiyo!

    huyo ni kiazi kaona kazidiwa na mwakyembe ana AHA AHA POLE
  13. mpogole

    JamiiForums Tanzania Dr Mwakyembe Apangua Wajumbe wa Bodi ya Bandari (TPA)

    Rejea kwenye maelezo kipallo kisamfu yupo reli sio bandari.
  14. mpogole

    JamiiForums Tanzania Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    sasa ndio naamini huyu bwana jina sio lake, maana nasikiA ANATUMIA JINA LA MTU MWINGINE ,,, KATIBA NDIO JAMBO LA MSINGI KWA MUDA HUU KUIPELEKA SIMBA IRAMBA HILI WATU WAJAE ANAONESHA KUWA AKILI HANA POLE SANA MWIGULU KUANDIKA UJUI NA WASIWASI NA FIRST CLASS KAMA KWELI YA CHUO TULICHOSOMA WATU...
  15. mpogole

    JamiiForums Tanzania Matunda ya kampeni ya kijiji kwa kijiji Mbeya vijijini yazaa matunda

    akika ni bora uwe na ukimwi kuliko kuwa na akili ya ccm,,,dr ulimboka,daud mwangosi,mabomu arusha ,mara tatu kumuua mbowe,ufisadi,epa,twiga kia,tembo kinana ,idd azan unga, mwigulu green guard aka savimbi ,rage bastola,wassira master plan wakuua poleeeeeeeeee peoples power
Back
Top Bottom