Ikiwa ni lazima kuacha kazi, hakikisha umejiridhisha na kile unachokiendea.
Nadhani wazo la kumpa mkeo mtaji wa biashara lilikuwa wazo zuri, kwamba wakati mmoja anakaa kwenye biashara mwingine anakuwa kwenye ajira kama backup.
Kutokana na kwamba biashara iliteketea kwa ajali ya moto na siyo...
Soma kitabu chenye Jina, the richest man in Babylon. Kama ukifuatilia Yale mafundisho mle utakuja jikuta umemalizana na madeni na unaishi maisha ya furaha.
Meanwhile, hakikisha mwenzako wa.ndoa anaelewa hali unayopitia in-out.
Kama ni waumini jitahidini kusali pamoja kila asubuhi kumkabidhi...
Kama ni dereva na unajua mitaa ya Dar, unaweza kufanya bolt au Uber hutakosa fedha za kujikimu. Pia itakupa nafasi ya kukutana na potential employers. Kila la heri
Tunakumbushia tu!
UJENZI WA DHARURA BARABARA YA KIMARA - BONYOKWA UANZE MARA MOJA
Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa Pamoja na Mkuu wa Mkoa Mhe Albert Chalamila leo Novemba 13, 2023 wamefika katika barabara ya Kikwete High way itokayo Kimara mwisho kuelekea Bonyokwa kuona changamoto...
Hata Kimara hali ni mbaya mnoo. Njia ya bonyokwa inaenda hadi airport na viungo vyake hali si nzuri. Waliahidi kutengeneza kuanzia tarehe Dec 2023 kwa kiwango cha lami lakini hakuna Dalili. Utadhani wanaotumia njia huyo siyo walipa Kodi wa nchi hii.
Umeme usio wa uhakika ni kikwazo kikubwa katika kutekeleza shughuli za kiuchumi na za kijamii kwa taasisi na hata watu binafsi.
kwa mfaano. Mfanyabiashara mwenye salon hawezi kufanya kazi bila umeme, majumbani vyakula vinaharibika hovyo hovyo, mfugaji wa kuku kama hana mbadala vifaranga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.