Recent content by Mpira Magoli

  1. Mpira Magoli

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Siri za serikali zinavuja mtandaoni, hii ni kuonyesha baadhi ya Watumishi umma hawana maadili

    Ukikosa uadilifu ndio unakua na hofu, kwa maana hiyo hizo siri za ufisadi huwa ni kweli
  2. Mpira Magoli

    JamiiForums Tanzania Oluoch Ezekiah ni Jasusi? Kwanini aliahirisha kugombea Ukatibu wa TUCTA?

    Umekusanya data Ila hukutumia nyenzo sahihi kuchakatua data zako ziwe taharifa,zimebaki kua data,mfano kipengele Cha kwanza na Cha pili umejaribu lakini bado uongo umeonekana huenda aliyekupa data ameguatilia movement za mhusika Ila hakujua vitu vingi
  3. Mpira Magoli

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu salary scale za PUT,PHTS na PGSS

    Na hii PHTS ndio vitu gani
Back
Top Bottom