1) Kwanza Kabisa hilo la ukabila futa kabisa,kwani kama asingekuwa appreciated kwako asingefunga Safari mpk huko kwenu kuja kutoa MAHARI.
2)Kutokana maelezo yako uliondoka mwenyewe bila kufukuzwa kwa TABIA ZAKO ZA KIBURI CHA KWENU huko UBENANI,.
3) Kwa maelezo inaonekana wewe ujafundwa kimaadili...
Wewe ndio umechanganyikiwa, I thought these stories are not real! But from this reaction, naamini ni kwel!
After all umefanya yote uliyotaka, na matokeo yameonekana, je kuna wakumlaumu??
Kwa tabia ulizo onyesha hapa, you deserve to be a single mother!
Ktk hoja zako hakuna sehemu ulieleza shaka ya kuletewa magonjwa!
Naona unaugua ugonjwa wa ujinga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.