Recent content by mpiga vichwa

  1. mpiga vichwa

    JamiiForums Tanzania Simba SC mechi Tatu za Ligi kadi Tatu nyekundu na Yanga SC mechi Mbili za Ligi wameshazika Wanachama wao muhimu Wawili. Kazi ipo mwaka huu....

    Yanga ni timu yenye vigagula wengi. Watamalizana hao. Nahisi Mzee M .P .I. L. I ndo anafanya yake huko
  2. mpiga vichwa

    JamiiForums Tanzania Yanga tusiingie kwenye mtego wa Simba. Selemani Mwalimu walikuwa wanamkarisha hadi dk za mwishoni. Sisi tunamweka bench?

    Kwamba imecheza mechi 2 ngumu! Namungo na costal? Au kuna nyingine?
  3. mpiga vichwa

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Yanga SC Ibrahim Bacca akutana na doso kali kufungisha mechi na Azam

    Chezaji la hovyo
  4. mpiga vichwa

    JamiiForums Tanzania Marefa wa Tanzania wanangoja nini kugomea kuchezesha mechi zote za NBC?

    Wewe kama siyo Arajiga basi ni Kayoko . Na kama siyo kayoko basi ni mwinchui
  5. mpiga vichwa

    JamiiForums Tanzania Yanga tuwashtaki na Aziz Ki na Shadrack Boka kwa kuichafua team yetu kuhusu matches zetu

    Vipi ikitakiwa nyie ndio mkapige magoti kwa wanaowatuhumu mko tayari kupiga magoti?
  6. mpiga vichwa

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Wachambuzi wanaoichafua Yanga kuchukuliwa hatua

    Hapo sasa ndipo inabidi mtwambie , nyie ni yanga au ni Dar young Africans.
  7. mpiga vichwa

    JamiiForums Tanzania Mexime na Nizar wana u-Yanga? Sababu ya kufukuzwa yajulikana

    Wao ngoja waendelee kufanya huo ujinga wa kununua mechi. Mwakani tutashuhudia tena bingwa wa NBCPL akiishia hatua za awali au makundi kule CAFCL huku mshindi wa pili wa mashindano hayo akienda hadi fainali ya CAFCL
  8. mpiga vichwa

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza hela tena Mbele ya Yanga

    Kosa ni Kayoko na Arajiga kutochezesha. Hakuna kosa lingine
  9. mpiga vichwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Simba wamegoma kutii wito wa bosi wao kutoka ACA Eng Hersi?

    Hivyo vikao vinahudhuriwa na vitimu vidogovidogo ambavyo hapa Afrika havijulikani. Kwahiyo uto na Azam kuhudhuria ilikuwa sahihi
  10. mpiga vichwa

    JamiiForums Tanzania TFF yaitwa tena mahakamani kesi yakumfungia kocha Liston Katabazi

    Huyo kocha ni ng'ombe kabisa , masuala ya mpira anaenda mahakama za ki rahia? Kwanini asiende CAS?
  11. mpiga vichwa

    JamiiForums Tanzania Kinachofanyika kwenye soka la Tanzania ni sawa na kusema,Yanga anawezeshwa kumshinda Simba kama wanamke anavyowezeshwa kwenye mambo mbalimbali

    Kwamba yule wa 1935 ndiye mdogo bado anakua ila yule wa 1936 ameshakua hadi amedumaa hana maajabu tena.Dah! Hii nchi!
  12. mpiga vichwa

    JamiiForums Tanzania Kinachofanyika kwenye soka la Tanzania ni sawa na kusema,Yanga anawezeshwa kumshinda Simba kama wanamke anavyowezeshwa kwenye mambo mbalimbali

    Na nyie jengeni ya kwenu ili angalau mfike hata makundi .Huku nbc ni mbeleko za marefa ndizo zinawafanya muonekane bora mbele ya simba lakini ukweli ni kwamba nyie ni weupe kabisa!
Back
Top Bottom