Recent content by Mpendelewa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Wakoloni walishajenga mabwawa ya umeme kama hili la Nyerere kwa kitambo sana!

    Chelewa ufike, cha msingi tumefika na tunapongeza ila sasa imebaki kuona italeta mabadiliko gani yenye ahueni kwenye gharama za umeme
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mh Babu aliponusurika mwanao walikuwa wamekuda 10 siku hiyo kwa uzembe wao, kusema ukweli Dr Samia katurudisha enzi za jakaya

    uzi huu uunganishwe na nyingine zinazomuhusu RC wa malalamiko, na Rc mwenyewe ujumbe ukufikie ufanye kazi ya kutatua matatizo ya haraka kwa wananchi badala ya kuwa sehemu ya malalamiko
  3. M

    JamiiForums Tanzania RC Kilimanjaro: Nilivaa kanzu na kofia, wahudumu hospitali ya Mawenzi hawakunitambua, nikasubiria huduma kwa saa tatu ikabidi nianzishe fujo

    Yaan kwa ufupi huyo RC ana akili fupi kama hiyo kofia yake aliyovaa siku hiyo! Haiwezekani kwa hali yoyote kushangaa tatizo lililo ndani ya uwezo wako. Mkoa ni wake, watumishi wote wako chini yake, yeye ndio mwenye mkoa halafu anajishangaa uozo wake ambavyo hajui kuongoza. Badala ya yeye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania RC Kilimanjaro: Nilivaa kanzu na kofia, wahudumu hospitali ya Mawenzi hawakunitambua, nikasubiria huduma kwa saa tatu ikabidi nianzishe fujo

    Hapo mkuu wa mkoa yupo kutafuta kiki muda huu wa lala salama na hazitamfikisha popote. Kiuhalisia kila anayekwenda hospitali huwa anaumwa na utaratibu wa foleni ni lazima ufuatwe na wingi wa wagonjwa unaweza usiendane na idadi ya watumishi. Na ukiwa kuna udharura wa ugonjwa busara ni kwenda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wapitisha maprofesa 16 kugombea ubunge

    Ni heri ya hao wasomi wagombee tena ikiwezekana waongezeke zaidi ya hao kuliko wasanii wote wanavyotaka kuingia bungeni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Gharama kwenye huduma za kibenki za kidijiti zipunguzwe ili kupunguza matumizi ya fedha taslimu

    Na iwe ni agizo utekelezaji uanze mara moja ....imekaa vizuri sana hii
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuna bidhaa nyingine ni aibu kuuzwa kando ya barabara na ni kupoteza mapato kwa serikali na kufanya mji kuwa hovyo.

    Ila siyo kote ambako masoko yalijengwa sehemu siyo rafiki, kwingine yaleyale yaliboreshwa ila wale wafanyabiashara hawakai ndani ya masoko na maeneo wanayopanga vitu chini ni uchafu mtupu. Na pia kwa maeneo ambayo tunayaita sio rafiki yanaweza kuwa sio rafiki leo ila yakaja kuwa rafiki jinsi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mchina kanipigia simu ili aniuzie bidhaa bei sawa na ya supper agent

    Yaan wachina wanaandamwa kila kona na wafanyabiashara uchwara, kila siku mchina hivi mchina vile! Wafanyabiashara wote wababaishaji mtoke mkatafute kazi nyingine mnazoweza kufanya kama biashara zimewashinda kwasababu biashara ni ushindani na dunia imefunguka kila mtu apambane kumpatia mteja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mamlaka zinazo husika kushughulikia hii changamoto ya watoto kwenda vijiweni

    Jukumu la malezi ya mtoto linaanzia nyumbani, kwa mzazi/mlezi wa mtoto. U-busy, uzembe na kutojali kwa wazazi/ walezi ndio kunapelekea watoto kujilea wanavyotaka. Kitu muhimu watu wazae pale wakiwa tayari kubeba jukumu la malezi na wazae kwa uzazi wa mpango.
  10. M

    JamiiForums Tanzania 𝗠𝘁𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗮𝗹𝗶𝘆𝗲𝘂𝗻𝗱𝗮 𝗮𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗯𝗮𝗻𝗱𝗶𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘆𝗼𝘄𝗮𝘀𝗮𝗱𝗶𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝘄𝗮𝘀𝗶𝗼𝗼𝗻𝗮

    Hongera sana kwake! Amejitahidi pa kubwa aendelee na research kuongeza zaidi ya hapo ikiwezekana AI iweze kukadiria umbali wa kila kitu kilichopo mbele ya kipofu ili aweze kujua kwa usahihi hatari iliyopo mbele yake. Pia serikali kupitia wizara ya Sayansi na Technologia itoe support kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia inanuka rushwa: Orodha ya Idara zinazoona zina haki ya kupewa rushwa

    Ila kuna Taasisi haifanyi kazi yake inavyotakiwa ndio maana kelele ni nyingi, na Taasisi hiyo ni TAKUKURU, ipo kama haipo vile haisikiki popote kuonyesha makucha yake angalau watu waone mifano inawezekana wanasubiri maelekezo kutoka juu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania List ya nchi za kusini mwa jangwa la Sahara zenye zinazoogoza kwa kuwa na Diaspora matajiri huko Marekani

    Hiyo Eastern Africa hapo unahakika hatujajumlishiwa humo. Na Kenya kwanini hawajawekwa ndani ya Eastern Africa! source ya data inaweza kuwa ya uongo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii si sawa Nembo hadi kwenye Soksi!

    Inawezekana lengo la mwalimu ni watoto waonekane nadhifu zaidi, hiyo ni kawaida tu kwa shule za private huwa wanaweka chapa za shule zao. Halafu upunguze kushangaa vitu vidogovidogo wakati mwingine omba mwalimu akuonyeshe mfano wa hizo soksi baada ya kuwekwa nembo ungejikuta umezipenda! elimu ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu akimjibu Wasira CCM msikimbilie kutumia dola kama kipindi cha Magufuli

    Ha ha ha kwa hiyo ndio mmeanza kumpashia kabla hajakutana na mvua ya Lissu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nyie fauluni, tutakutana kwenye ajira

    Unakiashiria cha wivu mbaya! acha watoto wasome wafaulu ni bora taifa la wasomi wengi wasio na ajira mwisho utafika watajitafuta hata nje ya nchi kuliko mazezeta/ wajinga kurundikana mtaani wataleta laana zote unazozijua na hawana pa kwenda labda wazamie wawe chakula cha samaki.
Back
Top Bottom