Recent content by MpendaTz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dar: DCEA yakamata Energy drink zenye kemikali ya Bangi

    Ni pale unapoitumia kwa hiari yako na bila kudanganywa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dar: DCEA yakamata Energy drink zenye kemikali ya Bangi

    Tunaomba picha ya "packaging" ya hicho kinywaji muonekano wa chupa nk kama kuna uwezekano wa kuipata.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dar: DCEA yakamata Energy drink zenye kemikali ya Bangi

    Hivi ukimkaribisha mtu nyumbani kwako akawalisha watoto wako madawa ili wageuke kuwa mazuzu unatakiwa umfanye nini?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serikali moja itakuwa sahihi zaidi kws sababu kuwa na serikali tatu ni sawa na kurudi nyuma. Tulishatoka kwenye tatu, tukaenda ku-pratice serikali mbili, sasa kama tunataka kudhibitisha kwamba muungano ni wa kweli basi sasa na tuunde Katiba na serikali moja.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Arusha Mjini: Inaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania

    Ukienda haraka haraka utaingia siko, lakini huenda ameuachia u RC ili apate Ubunge aweze kuteuliwa nafasi ya juu zaidi ie. Waziri. Hiyo imekaaje?
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni

    Umefanya utafiti gani kuhusu hiyo comment yako?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kupokelewa CHAUMMA Agosti 06 ukumbi wa Mlimani City

    Ni jambo la kipuuzi mno kuona mtu anatapika wanatokea watu wanajaribu kumfumba mdomo!
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sensa 2022, watanzania umri miaka 15+ wapo 29,842,718 na hao ndio wanasifa kupiga kura 2025. Tume ya uchaguzi itujibu 37,655,559 wanatoka wapi?

    Hii hunisikitisha sana pia, kuna watu wako so narrow minded kiasi inasikitisha. Wakati mwingine anakuja mtu anageuza mkazungumzo kuelekea kwenye dini ya anayejadiliwa. Pathetic!
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sensa 2022, watanzania umri miaka 15+ wapo 29,842,718 na hao ndio wanasifa kupiga kura 2025. Tume ya uchaguzi itujibu 37,655,559 wanatoka wapi?

    Hivi Ripoti ya sensa ilitamka na kutoa makadirio ya idadi ya watu ambao hawakuandikishwa au kuhesabiwa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natangaza kutoa zawadi ya $5000 kwa mtu atakaenionyesha picha ya Samia akichukua fomu ya kugombea urais CCM

    Hivi Kikwete siyo mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM kweli? Itanishangaza sana maana alichofanya ni sawa na refarii wa mpira wa miguu kuchukua mpira na kuuweka hatua moja kutoka kwenye goli na kupuliza kipenga mpira uanze kuchezwa na wa kwanza kuugusa awe ni chawa team. Allaah Akbaru!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vigogo 3 wa CCM wajipanga kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa mgombea urais kwa tiketi ya CCM

    Generali alisema wametanguliza mkokoteni mbele ya punda!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkatae mkubali Makonda amezaliwa kuwa mwanasiasa ila Lissu kwenye siasa analazimisha

    Ili aweze kulinganishwa apigwe mbili tu! wala siyo sita?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

    Nangoja uteuzi wa Balozi mwingine
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mashekhe wote kwa umoja wenu: Ijumaa ijayo khutba iwe ni October TUNATIKI ✅

    Fani gani, kutoka Chuo kipi?
Back
Top Bottom