Recent content by MPENDA WATU

  1. M

    Nakaribia kupata CPA lakini nahitaji kujiunga na Postgraduate Diploma ya Elimu

    Naomba ushauri, Kwani toka 2011 sijapata kazi, nilisoma uhasibu na bado nko mtaani cjapata kazi. Nahtaji nkipangwa ualimu nije nibadili fani ili nirudi uhasibu na hilo ni baada ya kupata CPA. Je, itawezekana hilo?
  2. M

    Nakaribia kupata CPA lakini nahitaji kujiunga na postgraduate diploma ya education

    Naombeni ushauri wana jf,mimi ni mhitimu wa degree ya uhasibu toka 2012 na mpaka sasa sijapata ajira.Nmefanya mitihani ya CPA na bado masomo mawili nimalize CPA,kwakuwa nmekaa muda sasa sijaajiliwa napenda nikasome PGDE lakini lengo ni kuwa kama nitaajiliwa kama mwalimu na pia nikifanikiwa...
Back
Top Bottom