Recent content by Mpenda Usalama

  1. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

    ccm mnatia aibu sasa haina maana. kama mliogopa local gov elections hata za urais mtaziogopa sana ndiyo maana slave trade inaendelezwa na slowslow na sasa hata katibu ameingia kichwa kichwa!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Zanzibar haipati wahamiaji kutoka upinzani? Je, haipendwi au wanasiasa wa visiwani wamekomaa kuliko wa bara?

    Hata wanawake hawajahama. Ni wachache mno waliohama na wanahesabika. Inaonyesha kuwa wanawake wana misimamo zaidi kuliko wanaume wa bara! Hongera wapinzani zanzibar, hongera wanawake bara!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uhujumu Uchumi: RC Arusha ataka waliosambaza video ikionyesha barabara mbovu mbugani kukamatwa mara moja

    Mhujumu ni aliyetengeneza sub standard road ama ni aliyeripoti ili itengenezwe??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uhujumu Uchumi: RC Arusha ataka waliosambaza video ikionyesha barabara mbovu mbugani kukamatwa mara moja

    Is he serious about this or is it a joke??
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Benki ya Dunia umeonyesha upinzani sio idadi ya ubunge, ni fikra

    Tatizo kubwa la watanzania nI elimu, elimu, elimu! Hii ingekuwa Kenya 80% ya watu wangekubali kuwa 30% ya watoto wa kike kuadhibiwa kwa kunyimwa haki yao ya kupata elimu bure ya serikali ni janga la taifa. Wala halina mjadala!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika: CHADEMA haitasusia uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, amuomba Rais Magufuli kupeleka muswada wa Tume huru ya uchaguzi kwa hati ya dharura!

    Britanicca, why do you think that democrasia is only important for Chadema rather than for all of us??
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuteuliwa kuwa Mnadhimu Mkuu wa kambi rasmi Upinzani Bungeni, Bulaya aanza kumiminiwa pongezi za ndani na nje ya nchi

    Pongezi sana binti. Unastahilisana! Wote mliochaguliwa mnastahili!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Taifa CHADEMA, John Mnyika ataongea live kupitia kituo cha ITV asubuhi

    Aibu kuiba kura za nchi nzima!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

    Safi sana! Wanunuliwe sasa!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Watanzania wengi hatuelewi yanayoendelea nchi hii. Mungu atulinde kwani wenyewe ni, mbumbumbu!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

    Huyu afisa elimu anabembeleza tumbo lake hana akili kichwani sawa na slowslow!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii si sawa, wabunge hawa wachunguzwe rasmi

    Stupid bull!
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nitaipigia kura CCM 2020 ikiwa..

    Ccm wamekula nchi hii too much sasa waondolewe kwa kura zetu. Wakitaka waibe lakini wajue tumewachoka.sasa!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vitu Rais Magufuli anavyofavya vizuri na vibaya

    Ngoma draw!
Back
Top Bottom