Recent content by Mpembuzi Makini

  1. M

    Kwaheri Dkt. Mkamilo, tunaomba Rais Samia utuletee Mkurugenzi mpya wa TARI

    Nimesoma comments za wanaomtetea Dr Mkamilo na kugundua ni wale wale ambao ni wanufaikaji wa mfumo mbovu ambao Dr Mkamilo kauasisi ndani ya TARI. Baadhi ya watoa comments hasa watetezi ni ndugu zake ambao kawaingiza kwenye TARI kwa upendeleo na wengine ni wale wanaowaza Dr Mkamilo akiondoka...
  2. M

    Kwaheri Dkt. Mkamilo, tunaomba Rais Samia utuletee Mkurugenzi mpya wa TARI

    Huyu Mzee astafishwe tu. Ni watu wachache ambao wameaniwa na mamlaka za juu kwa nafasi yake wanafanya uhuni. Humphrey polepole huwa anazungumzia wahuni wa aina hii.
  3. M

    Kwaheri Dkt. Mkamilo, tunaomba Rais Samia utuletee Mkurugenzi mpya wa TARI

    Kwaheri Dr Mkamilo, tunamuomba Dr Samia atuletee Mkurugenzi Mkuu Mpya Sheria ya utumishi wa umma Na. 8 ya mwaka 2002, ikisomwa pamoja na kanuni zake za mwaka 2003 na taratibu nyingine za uendeshaji za mwaka 2003, pamoja na miongozo na nyaraka mbalimbali zinazotelewa na Serikali zimeweka...
  4. M

    Dr Mkamilo kuheshimika kimataifa? Kivipi tena? Ninyi hamna tabia ya kujisomea? Huyu Dr Mkamilo hata PhD yake ni weak sana kasome kazi yake. Kwenye PhD alitafuta tu takwimu kule mtwara mara zao la mahindi mara ufuta. Tafrani tupu hata haieleweki alilenga kutatua changamoto gani hasa ya kijamii...
  5. M

  6. M

  7. M

    Kwaheri Dkt. Mkamilo, tunaomba Rais Samia utuletee Mkurugenzi mpya wa TARI

    Kwaheri Dr Mkamilo, tunamuomba Dr Samia atuletee Mkurugenzi Mkuu Mpya Sheria ya utumishi wa umma Na. 8 ya mwaka 2002, ikisomwa pamoja na kanuni zake za mwaka 2003 na taratibu nyingine za uendeshaji za mwaka 2003, pamoja na miongozo na nyaraka mbalimbali zinazotelewa na Serikali zimeweka...
  8. M

    Kwaheri Dkt. Mkamilo, tunaomba Rais Samia utuletee Mkurugenzi mpya wa TARI

    Kwaheri Dkt. Mkamilo, tunaomba Rais Dr Samia utuletee Mkurugenzi mpya wa TARI 11/6/23 tulimuomba Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan atuletee Mkurugenzi Mpya wa TARI. Tunataka kusema ukiyaona ya Mussa utayaona ya Dr Mkamilo na watetezi wake. Kuna baadhi ya watumishi wake wachache sana ambao...
  9. M

    Kwaheri Dkt. Mkamilo, tunaomba Rais Samia utuletee Mkurugenzi mpya wa TARI

    Rais ndio mwenye maamuzi na hili na atalifanyia kazi. Huyu Dr Mkamilo aliwahi kumuajiri mke wake ambaye ni div 4 ya mwisho. Ukiangalia vyeti
  10. M

    Kwaheri Dkt. Mkamilo, tunaomba Rais Samia utuletee Mkurugenzi mpya wa TARI

    23/5/2018 aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural...
  11. M

    Machifu wa Mbeya wasikitishwa na utendaji wa Mkurugenzi wa TARI

    Muungwana akivuliwa nguo huchutama lakini kwa Mkurugenzi wa TARI Dkt. Mkamilo imekuwa tofauti kwake. Mbeya ni miongoni mwa sehemu ambazo bado wanalinda utamaduni wao. Mojawapo ya utamaduni wao ni kuwaheshimu viongozi wao wa kimila ambao hujulikana kama machifu. Machifu wa Mbeya wamechukizwa...
Back
Top Bottom