Nshaliwa zaidi ya mara 3
Kuna moja nmeingia nae kumbe yuko P, na nshalipa 35k. Kuna mmoja alikwama mlangoni, mie nlikua nshaingia kulipa, sijui alikutana na sura ipi wanajuana (she paid back anyway).
Pia, mara kadhaa nshalala peke yangu, maana wadau hawakutokea.
it's not a 100% success...