Zero una akili kama sifuri!!!!
Hupendi uwakilishi unaozingatia dini ya mutu,umejiuliza ni sababu zipi za msingi zinazombana Muungwana hasichague PM muislamu?hata alipoondoka EL,Muungwana alimrudisha PM mkrsito,unadhani Muungwana hana akili kama zako?kwnini public figures za kupewa U PM zilibeba...