Umeongea kwa busara sana haya ndo tunahitaji kuyasikia sio watu wengine huko juu wanabwabwaja hovyo hata hawajui kinachoendeleq mi nashauri tuendelee kuwasikiliza madaktari wanavyosema kuna changamoto inawezekana wagonjwa nao ni wengi sana mana hata sisi tulikuwa na wagonjwa pale tukafatilia...
Kumbe watu wanapaswa kuwa na subira tu na kufata maelekezo ya madaktari mana hata hiyo mionzi ya nyuklia yenyewe kumbe kuagiza kwake ni tabu, asanteni madaktari wa Ocean Road kwa ufafanuzi
Tunajua kuwa amekaa hospitali kwa kipindi gani? Zimetumika gharama kiasi gani za ununuzi wa dawa na baadhi ya matibabu yamekwendaje? Yawezekana kwa kiasi hicho cha pesa angekwendq India ingekuwa zaidi ya milioni hamsini huko, lazima tulinganishe huduma na gharama za matibabu mana serikali...
Ndio mana kuna ishu ya bima ya Afya ambayo malipo yake ni kidogo lakini ita cover haya mambo yote, leo mtu anapinga 340,000 km malipo ya bima ya Afya Kisha akipewa gharama halisi qnalalaika inakuwaje? Tujifunze
Acha matusi bwana mdogo lete hoja uliona wapi huo utapeli? Mana sisi wengine tunahitaji kujifunza kutoka kwa ninyi mnaojua jambo hili sasa mnatuchanganya mwaga hoja zako ijulikane ulichoongea, sisi tuliielewa sasa tujuze hoja zako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.