Recent content by Mparanyanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinauzwa

    Nyumba zinauzwa ni mpya, ndio ziko kwenye hatua ya mmwisho< ziko kunduchi skanska-salasa. bei zinatofautiana na ukubwa wa eneo, bei inaanzia 130ml to 180ml. karibuni 0782370200
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba mpya tatu zinapangishwa

    yani laki 9 halafu ziko 3 kwa compound, lol, wakato mbezi beach , kijitonyama laki 6 nyumba ya geti la peke yako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fremu ya biashara

    Ipo mbezi mwisho, stand mpya, ni kubwa. Kodi ni 250000 kwa mwezi, inatakiwa kodi ya miezi 6. 0754255734
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbao za Mningaha

    Habari wana JF, nahitaji mbao za mninga zilizojaa vizuri 2*8, kama mtu anazo tafadhali tuwasiliane kwa namba 0782370200.niko Dar es salaam
  5. M

    JamiiForums Tanzania Milango ya mninga inauzwa

    Mmhh mkuu hiyo bila frem, Dar mbao za mninga huku bei ghali sana ndugu yangu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Milango ya mninga inauzwa

    Mimi natengeneza milango ya mninga ila bei zinaanzia 450000, bei inaweza pungua kidogo kulingana na idadi ya milango unayoitaka. Picha za chini ni baadhi ya kazi zetu.kwa mawasiliano 0782370200 na 0754255734
  7. M

    JamiiForums Tanzania Joshking Timber and Woodworking

    Tunatengeneza Milango ya mbao na frem zake, makabati ya Jikoni,na bidhaa zinazotengenezwa kwa mbao, wasiliana nasi kwa namba hizi 0782370200n 0754255734
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gas ya bp

    asante, nilapata pale tangi bovu karibu na petrol station ya oilcom, wanauza gas za aina zote ingawa wamesema bp soon haitakuwepo kabisa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gas ya bp

    Habari zenu wana JF, samahani naombeni msaada ni wapi naweza pata gas ya BP kwa hapa dar es salaam? mimi naishi tegeta, kwa anayejua tafadhali anisaidie. bless you
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gas ya BP inahitajika

    Habari zenu wana JF, samahani naombeni msaada ni wapi naweza pata gas ya BP kwa hapa Dar es salaam? Mimi naishi tegeta, kwa anayejua tafadhali anisaidie.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi wa ndani(house girl) mshahara mnono

    yeye angekuwa wa kwake ana alama hizo angemruhusu akafanye kazi za ndani?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga karibu na St Joseph Sec School

    mimi nahitaji kuiona hiyo nyumba no zangu 0754 255 734
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya inapangishwa Mbezi Juu

    kaka weka no ya simu tafadhali!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote anayetaka machine ya aina yoyote ile tuwasiliane

    mi nahitaji machine ya kukatia crisps
  15. M

    JamiiForums Tanzania Anae jua soko la asali nchini kenya

    kaka bado una asaliu???mmi nataka kama lita 300 kwa laki 9.
Back
Top Bottom