Hakuna uwongo hata kidogo. Kuwa na uchungu na maisha ya watu
Unajua analipwa kiasi gani na kodi yetu ya pango ni kiasi gani? Unajua ana akiba kiasi gani au ameahidiwa kusaidiwa kiasi gani akiongeza na mshahara wake atafanikisha kiasi gani? Kuwa na huruma
Ili nipate nini? Sina hata line yao...
Kumbuka mimi sio mfanyakazi wa hiyo kampuni mimi nimempangisha mfanyakazi wao, na nimenukuu maneno waliyokuwa wakiongea mpangaji wangu na mmoja wa aliokuwa akiongea nae huku laud speaker ikiwa on
Nimesoma Comments zote, sijaona hata Comment moja ya mtu anayeonyesha ni mfanyakazi wa TTCL au Mke au Mume wa mfanyakazi wa TTCL anayeweza kuthibitisha kuwa WAMELIPWA. Lakini mimi ninachokisemea ni huruma tu ya watu hawa ambao wanaaibika mitaani wakati tunaona kampuni inatoa MABILIONI...
Aisee! Kwaiyo huo mshahara wameshalipwa? Maana lingekuwa ni jambo lake tu ningemkomalia lakini kawapigia wenzie na wote wanalia vilio vinavyofanana...kuweni na huruma jamani
Sitaki kuamini kama amenidanganya. Ameongea na wenzake mbele yetu tunasikia. Hakujua kama tutafika kiasi kwamba tungesema amejipaqnga na hao watu wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.