Recent content by MPAMBANAJI.COM

  1. MPAMBANAJI.COM

    TANESCO Kilimanjaro washukiwa kwa rushwa- wahamisha mradi wa REA kwa Matajiri.

    Ndugu wanabodi, Kwa tetesi zilizopo ni kuwa baadhi ya wafanyakazi wa Tanesco wanalaumiwa kwa kupokea na kuhamisha muelekeo wa mradi wa REA katika mtaa wa Pumuani katika Kata ya Kirua Vunjo Kusini halmashauri ya Moshi kwa kile kinachodaiwa ni kuupelekea kwa mtaa wa matajiri na hisani kwa mmoja...
  2. MPAMBANAJI.COM

    Siasa zisiathiri Mradi wa Stiegler's Gorge: Ujue Mradi mkubwa Duniani wa Three Gorges

    Mradi ni mzuri ila kwa hali ya kitropic tuliyonayo ni ya tofauti sana na nchi za Uchina, marekeani na nyingine nyingi ambazo tunazitolea mifano, nadhani kuna haja ya kutambua mbadala ya mradi yenye athari kubwa za kimazingira ndhidi ya miradi mingine ambayo ni rafiki wa mazingira. tukiangalia...
  3. MPAMBANAJI.COM

    Soma hii taratibu kuhusu SGR ya Tanzania na Kenya, Utajua Rais Magufuli ni kichwa na hakurupuki

    I propose, we cant infer one element out of ten variables, and say it is a significant analysis, however we have the right to praise any of positive efforts being realized.
  4. MPAMBANAJI.COM

    DODOMA: Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema awataka IGP na Mwigulu Nchemba wakauze maandaazi

    Lema Yupo sahihi sana. Asipuuzwe... Ila vikojozi humu watampinga na kumbeza
  5. MPAMBANAJI.COM

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Kati ya wana JF 100 ni 10 tu wanaelewa ujumbe wako. Nimeipenda falsafa ya kimsudhui uliyoitumia
  6. MPAMBANAJI.COM

    Hizi filamu zinazoonyweshwa kwenye vyombo vya usafiri viangaliwe kwa jicho la umakini

    mie sijazipinga, ukisoma uzi wangu utanielewa. Kwa maisha ya wakati ule na sasa kuna maendeleo na mbadala mingi. Hii ni kutokana na teknolojia na ushindani wa soko kwa sasa. nakukubali. rai yangu ni kuwe na movies/ filamu mbalimbali na zenye kuutangaza utamaduni wetu kwa upana wake... Upo...
  7. MPAMBANAJI.COM

    Hizi filamu zinazoonyweshwa kwenye vyombo vya usafiri viangaliwe kwa jicho la umakini

    Yap, mie ni mnoko kweli kweli, wote waliopitia kwenye mikono yangu kwa sasa ni viongozi wazuri sana...
  8. MPAMBANAJI.COM

    Hizi filamu zinazoonyweshwa kwenye vyombo vya usafiri viangaliwe kwa jicho la umakini

    Salam wanabodi, Naipongeza Serikali kwa huduma kwetu wananchi. Kero kwa leo ni kuwa baada ya kupigwa marufuku kwa jimbo za dini ndani ya mabasi makubwa kwa sasa inaonekana filamu nyingi zinazoonyeshwa ni zile za kikorea zenye ubabe na zisizo na maudhui yanayoeleweka. Hii sio nzuri sana...
  9. MPAMBANAJI.COM

    NEC wapiga marufuku siasa kwenye kampeni za madiwani

    Kwa mujibu wa vyombo vya habari ni kuwa ni marufuku vyama vya siasa kufanya mikutano ya siasa kwenye kampeni ya kuwanadi wagombea wa Udiwani nchini kote. Sasa, hapa nachanganyikiwa, utafanyaje kampeni bila siasa? AU SIASA ni sayansi nyingine na kampeni ni sanaa nyingine? Mnatuchanganya... We...
  10. MPAMBANAJI.COM

    Gavana wa Kenya amjibu Rais Magufuli kuhusu kukamata mifugo, asema uongozi wake ni aibu kwa Afrika Mashariki

    Tanzania sio nchi ya ujima. Nchi Jirani zifuate sheria za utaifa. Ni kosa kisheria kuingia katka ardhi isiyokuwa yako. Na hakuna mjadala kwa hili.
  11. MPAMBANAJI.COM

    Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

    Hii mada nzuri kwa waelewa. Na ni mada mchanganyo kwa wachanganya mambo. Binafsi naumia sana kwani hawa jamaa ni hatari sana
  12. MPAMBANAJI.COM

    Naomba ushauri wa kisheria kwa anayefaham sheria za ndoa.

    sasa hizi ni hoja gongana, unatakiwa kufungiwa kwa siku 90
Back
Top Bottom