Recent content by Mpalyanda

  1. Mpalyanda

    Vijana wa kiume punguzeni shobo kwa mabinti, mnazingua

    Wewe kutemwa hakumaanishi nawengine ndo tumetemwa, uguza mtemo kwanza uje Tena.
  2. Mpalyanda

    Mtazamo: Mabinti wa Kitanga wanakuwa Over-rated

    🤣🤣🤣 sikupingi kaka ,mda mwingne najiulizaga kwan Hawa wanawake wakitanga wanaozungumziwaga ndo Hawa wasambaa auu..??
  3. Mpalyanda

    Mwanamke akianza kukusaliti usipambane

    Nimefanya research elfu 5 kuhusu ulichoandika na nimeprove ina work 100% anaebisha aendelee kubembeleza
  4. Mpalyanda

    Nakupenda sana mpenzi wangu Dayana ila unanikosea sana

    Dem akishaitwa Diana juwa hamna kitu hapo. Pasua kichwaa
  5. Mpalyanda

    Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?

    Time traveling is possible, Ni swala la Muda tu coz teknolojia kila siku inakua, so naamini ata kama Ni baada ya miaka 500 hyo time traveling itaweza kuwa possible.
  6. Mpalyanda

    Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?

    Embu fikiria zamani sana kabla simu kugunduliwa alaf mtu angekuambia kuwa Kuna uwezekano wa kumsikia mtu aliepo mtwara wakati yeye yupo Arusha just imagine lazima ungemwambia uyo mtu kuwa amechanganyikiwa but what happened ndo tunaona leo kimegunduoiwa kifaa na wewe upo Arusha unamskia mtu yupo...
Back
Top Bottom