tatizo linalo kusumbua wewe ni balozi wanyumba kumi,kwahiyo nafikiri acha kupotosha ukweli,watu wana toa maelezo ya kweli,wewe unayapinga,wewe utakuwa na mtindio wa ubongo,
acha bangi jembe:wave::wave::majani7::majani7:huu nimziki mneeeee sisi tunazidi kupaa,ulilazimishwa kuchanga?
tuachie ss wenye mapenzi na chama...pipoooooooooooooozi
mimi nafikiri huyu mtu anaelekea kuchanganyikiwa,kamanda jesca endelea kupiga mzigo,hanalolote huyo,huyu mtu kwanza nina walakini na elimu yake,kama anauwezo wa kuwadanganya waTanzania kwamba kwenye mkutano wa chadema walikuwepo watu 32,huyo ni mgonjwa wa akili aende mirembe.
wewe inaelekea hizo akili ni za kushikiwa,yaani watu wanadai hakiyao kisheria,unamsifia?wakati kanuni hazikufuatwa?
hivi wewe shule yako ulisoma wapi,tena unajiita Advocate,hustaili kusifia ushenzi kama huu,hata mtoto wa darasa la pili ana kushinda.:wave::majani7:
wewe inaelekea uwezo wako wakufikiri umeishia hapo:ban: hata darasa la kwanza ukufika,watu kamanyie ndio mlio ifikisha hii nchi hapa ilipo,
inaelekea huyo pr ni shemeji yako.:bange::bange:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.