Hakika hoja iliyotumika ni DHAIFU sana eti kuoanisha na mfumo wa TCU ili iwe rahisi kudahili, hivi miaka yote kumbe ilikuwa shida kudahili?
Kama lengo ni kuoanisha kwa nini hawajatumia First Class,Upper Second n.k?
Kwa nini kama lengo ni kuoanisha Distinction isianzie 4,4 kama ilivyo vyuo...
Ha ha ha ha, No research no right to speak. Usiongelee jambo usilololijua, eti Arabic, Computer Studies na Masomo ya Dini hyajajumuishwa kwenye upangaji wa madaraja, sasa angalia kwa mfano matokeo ya hiyo shule http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE2014/s1291.htm
S1291/0510
M
13...
Kweli yale maneno aliyotoa Masele jana sidhani kama ilikuwa ni mahali pake hata kama alikuwa sahihi. Maskini JK kila kukicha mawaziri wake wanaibua sintofahamu. Kazi anayo kweli kweli.
Hivi Wizara ya elimu mpaka ifanye madudu kiasi gani ndiyo hatua zichukuliwe? Kuna maana gani ya kuandaa sherehe kubwa hivyo wakati mambo ya msingi hayajakaa sawa?
Moto umeiwakia wizara ya elimu kwenye bunge katika kupitisha bajeti,
Wametaka kuondoa shilingi kwa sababu ya kuzagaa kwa vyeti feki.
Mh Margaret Sitta naye amelitikisa sana kwenye chombo cha walimu. Wabunge wa vyama vyote wameunga mkono ikabidi Lukuvi ndiyo aokoe jahasi. Kawambwa hajui...
Mkuu kama mwaka 2012 C ilikuwa inaanzia 50-64 lakini sasa ni 40-49, B ilikuwa 64-79 na sasa ni 50-59, je hapo grade zimebadilika au hazijabadilika? Taarifa ya Wizara imeweka wazi mambo hayo mkuu hapa hakuna uongo. Fungua hiyo link uone alama za gredi za zamani na alama za gredi mpya.
Bado...
Mkuu nimeona kuwa mfumo huo utaanza kwa form VI 2015 lakini bado hoja zangu kuhusu dosari ya mfumo uliotangazwa na katibu Mkuu Novemba 2013 ambao ulitokana na maoni ya wadau sijazielewa. Kwa nini mabadiliko kila kukicha?
Wakuu hii thread imenichanganya sitaki kuamini kuwa hii wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani wamekuwa ni sikio la kufa kiasi hicho waweze kuthubutu kutumia mfumo mpya wa upangaji wa matokeo wakati wanafunzi wenyewe wameshamaliza mitihani ya Kidato cha Sita kwa wale wanaochukua masomo ya arts...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.