Tusijadili sana labda walishapeleka malalamiko ya binti yao hawakuwasikilizwa.Pia ni muhimu kujua huu ni wakati wa hasira na masikitiko baada ya mioyo kupoa bado wanayo nafasi ya kuzungumza hatma ya familia ya marehemu.
Mfano hiki kitabu cha Inijili ya Luka
Luka 3:10-14
Umati wa watu ukamwuliza, “Tufanye nini basi?” 11Akawajibu, “Aliye na nguo mbili amgawie yule asiye na nguo; aliye na chakula afanye vivyo hivyo.” Nao watozaushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?”
Akawajibu: “...
Mkuu ukiwa rais jambo binafsi ni unapolala au unaingia kurekebisha tai au kiremba the rest ni public affair.Kama ni kweli alitoka Nje ya nchi kwa style hiyo nadhani system zimecollapse na ni hatari kwa nchi.
Kuitwa polisi kwa vyama vya upinzani sio stori labda siku ikitokea kiongozi wa CCM akaitwa sio kwa kauli za kukosoa serikali bali kuongea maneno mabaya kwa vyama vingine.
Hukumu inaweza kucheleweshwa hadi mwakani kuanzia Disemba mahakama inaenda likizo hadi mwezi Februari.Nyakati za akina Mwalusanya,Nyalali,Rumanyika zimepita sasa tunao majaji waliokuwa watumishi wa setikali juzi juzi bado wanauserikali serikali hivyo kutenda haki inahijtaji msukumo msukumo wa...
Kumbe hujui chochote kuhusu Kanisa Catholic.Fr.Kitima hana uhusiano na utawala wa Jimbo la Dar es Salaam.Fedha za vyama hivi vya kitume hutunzwa na watu wenyewe sio mradi wa jimbo kama wameibiana unapeleka malalamiko kwa uongozi wa parokia ili kuangalia kama wanakwaya wamekiuka maadili yao...
Kwanza tujue hizo ni mfuko binafsi au wahisani? Je Arusha inakaliwa na waislam wangapi kiasi cha msikiti kuwa hitaji lao.Kuna mikoa inakaliwa na waislam lakini hawana huduma za jamii na wanaishi maisha ya chini mfano ni maeneo ya Kondoa,Lindi,Mtwara kwani nini wasipelekewa hizo fedha zijenge...
Hakuna sababu yoyote inayozidi uhai wa binadamu.Ukiona mtu kaua direct huyo alishapanga sio hasira.Kwani wanaodai talaka hawana akili hadi wewe ufikiri kuua tu kama suluisho la kuondoa tatizo.Haya kaua Dada wa watu hana maumivu amepumzika maumivu yamebaki kwake sasa.Tuwaze mara mbili mbili kabla...
Bunduki ilikuwa mikononi mwa mtu ambaye hakustahili.Kanuni ya bunduki ni ulinzi binafsi sasa mke wako sio adui hadi utumie bunduki.Wenye akili hawagombani na watu wao wa karibu wakiwa na pistol karibu.
Tumekataa oil refinery kwa kuwa wajomba zetu hawazitaki zitaua biashara yao uazalishaji na uletaji wa mafuta.Hivyo kumpoteza Rwanda kama biashara za wajomba haziathiriki sio shida sana kwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.