Recent content by Mp Kalinga

  1. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

    NAOMBA NIHITIMISHE KWA HERUFI KUBWA WAKUU. MWANAMKE HATABIRIKI NA HAJUI ANATAKA NINI. HATA WA DARASA LA 7 AKIAMUA ANASEPA MFANO WANGU LA SABA FAILURE MIAKA. 6 SITA NIKAMZALISHA MTOTO WA MIAKA 4 SASA ILA NILIVYOMFUNGULIA KABIASHARA AKAANZA KUPATA HELA AKAANZA MABADILIKO NA DEGREE YANGU...
  2. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

    Eeh ndugu nilituma na jina Lilitoka japo wakasitisha usaili ndo tunasubiri
  3. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

    Nimependa wazo lako maana hivihivi inauma sana ila kama miaka 6 hajampa mimba hatamuweza kwa sasa.
  4. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Rekodi yangu bora kimasomo haijaniwezesha kupata ajira. Naathirika Kisaikolojia

    Usikate Tamaa hata Mimi Nina record Kama yako, tofauti me ni upande wa arts, licha ya ufaulu mkubwa chuo nikasoma ualimu mwaka wa tatu sasa sijui cha jufanya nimepiga Boda nknikachoka nimefanya kadi za ujenzi nkaachoka nikaenda Veta mwaka Jan welding nkamaliza napiga kazi sipati nitakacho ilaa...
  5. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Tunapitia mengi katika kutafuta. Tusikate tamaa (Kutoka kuwa walimu wa nursery hadi mkufunzi wa elimu ya juu)

    AHSANTE SANA NDUGU PIA HONGERA SANA. NAAMINI IPO SIKU NA MIMI NITAANDIKA UZI KAMA WEWE, NINA IMAN NIMEFANYA INTERVIEW NASUBIRI MAJIBU. STORY INAFUNZA
  6. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    HABARI Naomba kuuliza wakuu nimeona swala la kurekebisha NIDA na gharama ikiwa ni Tsh 20000 je INACHUKUA MUDA WA SIKU NGAPI KUKAMILISHA MAREKEBISHO????
  7. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Daaah usikate tamaa ila uwe unajaribu nq mishe nyingine, unaweza ukatoboa ukasahau majeshi Mimi nmehangaika sana nina Uzalendo sipendi ajira napenda kazi nitumikie naamjni maaka huu zamu yangu nasubiri PDF sema me Umri bado nina 24 nina nafasi bado
  8. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    App gan hii
  9. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Fanya mpango uende nje nchi kama Marekani au Ukraine au Russia jeshi chap kule kazi hizi watu hawazimind
  10. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hahahaha
  11. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tumesubiri sana kuna nin?
  12. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bila hivyo ngumu kuna kauchawi hivi
  13. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    GPA inategemea na chuo ulichosoma mfano SUA, UDOM, UDSM, MUHAS, NA VINGINE VYA SERIKALI ASILIMIA KUBWA SECOND CLASS WANAPATA LAKINI PRIVATE KAMA SAUTI UNAKUTA FIRST CLASS LAKINI HAIPO MAKINI SANA
  14. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wapi hiyo kaka? Alafu watu hawajui mujibu na Kujitolea ni cheti kimoja sema maonezi mujibu miezi 3 ila unajitolea kusoma kwaajili ya nchi yako labda mwalimu au Dactari kuhudumia jamii lakini Kujitolea miezi 4 alafu unajenga taifa kwa kulima ujenzi nk lakini sidhan kama inamanufaa kwa taufa kama...
  15. Mp Kalinga

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mwanangu Investo me nilivoona vile pia nkawa mwanzo nilivpingia nkatoka safari home hakuna haki maamuzi ya mtu mmoja serikali iliangalie hili najua mpo humu
Back
Top Bottom