Recent content by mozambiqueone

  1. M

    JamiiForums Tanzania ND7GU YANGU WA DAMI AMESHAPOTEZA KUMBUKUMBU HANIKUMBUKI TENA. HOSPITALI WANASEMA NI TATIZO LA UBONGO; WHITE MATTER. Nifanye nini mwenzenu,

    1. Nina mgonjwa wangu hivi karibuni amepoteza kumbukumbu, hanitambui kabisa, na ni ndugu wa damu, nakaa nae nyumbani kwangu. 2. Kuna muda anapata nguvu za ajabu anataka kupiga vijana wake, hata dada yake 3. Kuna muda haongei kabisa 4. Kuna muda anaongea, maneno yake kwanini wanataka kumuua. Hapo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa kiwanja 6m Dodoma sqm 1200 na zaidi eneo lenye umeme

    Nashukuru sana kwa ushirikiano. Tayari dogo amepata
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa kiwanja 6m Dodoma sqm 1200 na zaidi eneo lenye umeme

    Hahaha kuna moja ilionekana ingawa kuna umeme pekee 30 kwa 30 ilikuwa 6m hiyo. Nafikiri alishauza yule mtu. Unaweza kupata
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa kiwanja 6m Dodoma sqm 1200 na zaidi eneo lenye umeme

    Ndani ya jiji tafadhl
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa kiwanja 6m Dodoma sqm 1200 na zaidi eneo lenye umeme

    Ndani ya jiji chief
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa kiwanja 6m Dodoma sqm 1200 na zaidi eneo lenye umeme

    Ni ndani ya jiji au nje
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa kiwanja 6m Dodoma sqm 1200 na zaidi eneo lenye umeme

    Dogo mpambanaji anataka kiwanja, kwa bei hiyo. Kuwe na huduma ya umeme
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

    Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA. Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina awaumbua wanaotaka kufuta "Legacy" ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Magufuli ameonesha njia sahihi saana ambayo tz tukipita tutafika mbali sana. Hii kitu haijawahi tokea kwa kipindi chote ambacho tumekuwa nacho. Ameonesha kwa vitengo ni kitu ambacho wengi hawakufikiria. Kumbe inawezekana. Tunaweza kuacha siasa za kudanganyana tukachagua maendeleo ya kweli...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

    Kuna watu huwezi waambia lolote juu ya Magufuli, hawaji kukuelewa. Kwa sababu aliyoyafanya yameeleweka zaidi. Kuna kundi lipo na mtazamo tofauti, sijui kwa mwelekeo wao. Huu ni mtaji wa kisiasa kwa kundi fulani, Kuendelea kumsema marehemu ni kuimarisha mpasuko, Na matokeo hata kama si sasa...
Back
Top Bottom