Recent content by moustapher

  1. M

    JamiiForums Tanzania MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    Wazo zuri saaaana, hebu anejua wahusika na kuandaa michakato ya kitaifa aliwasilishe wazo hili, ni zuri sana tena ongezeko la Tsh.25 tu wala siyo Tsh.50. Big up mtoa wazo, wewe ni mbunifu na muona mbali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ngazi ya IGP kazi nyingine anayostahili ni ipi??

    Kutaka kujua cheo cha Mangu kitakuaje au kitafuata protokali gani kwanza jibu hili;- 1. Mkuu wa Mkoa Kigoma anacheo gani? 2. Mkuu wa Mkoa Bukoba ana cheo gani? Na wengine sema mwenyewe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.

    Woote ni kasumba tu. Mbona hamjadili mwenge wa Olimpiki? Afanyacho mzungu ndio bora, cha mswazi ndio kupoteza muda, Pumbafuuuuu!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli usikate tamaa, tumeibiwa mno, na kuna waliofaidika na wizi huo!

    Yote kwa Yote enyi Watanzania na Wazalendo wenzangu, tujaribu kutoa ushauri na maoni ya jinsi gani tutaweza kujinasua katika kadhia hii, waliokula wamekula hao tutawabana baada ya Nchi na Mali yetu kuirudisha mikononi mwetu chini uongozi mahiri wa comrade wetu JPM. Tujipe moyo tutashinda tu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    "Ashakum si matusi" hivi mzazi akiwa shoga kugeuzwa Mwanamke na wanaume wenzake, halafu katika raha zao mzazi kwa kunogewa na penzi la Basha wake anasema na mwanangu pia aje afanywe hivi hivi na mwanao, sasa mtoto alipo kuwa mkubwa kaona huo ni upuuzi na ushenzi, je! mtoto huyu kukataa kufanya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    Kinacho niudhi kwa wabongo ni wakati hakuwepo wa kudiriki kufanya ujasiri huu wengi tulilalamika, Nchi inaliwa, Nchi inafujwa, n.k. sasa Mwenyezi Mungu amempa ujasiri kijana mwenzetu ooooh maneno machafu ya kiusaliti yanatokea, jee! tunataka nini? Hatujiulizi au hatukumbuki kuna watu walisema...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jembe.....!!!!

    Kweli hili JEMBE lakini ninaimani ni wa awamu ya kwanza tu ndio wanamuelewa vzr na wachache wa awamu zingine au wale ambao wamepigika, tunakutegemea baba tukomboeeeee!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania acheni unafiki, ina maana kifo cha Ivan kimewauma kuliko Dogo Mfaume?

    Mmmmmh!! ukweli unaumaa!
Back
Top Bottom