Recent content by moudy msoffe

  1. M

    Natafuta chuo cha nje kusoma masters ya physical and occupational therapy in special needs education

    jaman mi ni mwanafunz wa hiyo kozi ya occupational therapy kwa ngazi ya diploma mwaka wa kwanza,naulizia mshahara wake ni kiasi gani na je kwenye soko la ajira ipoje,kama haipo vizur naomben ushauri niiache au niendelee nayo🙏
  2. M

    Naomba ushauri kuhusu clinical medicine

    Broo nataka nikasomee hiyo kozi ipoje kwenye ajira ipo vizur au,naomba msaada maana bado nipo njia panda
  3. M

    Bachelor of science in Physiotherapy

    Nataka kusomea diploma ya occupational therapy, katka soko la ajira ipoje hyo naomba ushauri tafadhali
Back
Top Bottom