Recent content by Mottee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nani ni Nani Urais Upinzani 2015: Anna Mghwira Mwenyekiti ACT-Wazalendo

    Mama anaweza, Mama ni mama na mlezi aliyebora
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rene meza new boss for ooredoo myanmar

    Ooredoo Q.S.C. has announced the appointment of Rene Meza as the new CEO of its Myanmar business, replacing Mr. Ross Cormack who has taken the decision to leave his position later this year. Ooredoo is a leading international communications company delivering mobile, fixed, broadband internet...
  3. M

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo watafanya Mkutano mkubwa leo Songea

    sasa kinachokuwasha ni nini?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi zile operation za M4C zimeishia wapi? Au vichwa vimeondoka CHADEMA?

    duh!!! mbona unatokwa povu la njano?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi zile operation za M4C zimeishia wapi? Au vichwa vimeondoka CHADEMA?

    Kamanda wa kozi ipi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi zile operation za M4C zimeishia wapi? Au vichwa vimeondoka CHADEMA?

    Leo ndo Uzalendo unaanza kusambazwa kuanzia Songea mpaka Mwanza
  7. M

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo watafanya Mkutano mkubwa leo Songea

    Chama cha Alliance for change and Transparency, ACT-Wazalendo, leo siku ya ijumaa kinafanya mkutano wake wa kwanza wa kizalendo katika mji wa Songea, pale pale palipoanzia vuguvugu la kizalendo la kuitetea nchi hii kwenye vita Majimaji. ACT inaonyesha wazi kwamba nchi hii ili iweze kubadilika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo haina uwezo wa kuchukua jimbo hata moja Kigoma

    Haha haha kweli wewe mjanja wa kibororoni, mbege ndio chai yako.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi zile operation za M4C zimeishia wapi? Au vichwa vimeondoka CHADEMA?

    Nimeuliza tu mbona watokwa povu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo: Kwa wanaohitaji kadi za uanachama ACT-Tanzania

    Kijana wa kiume acha kulialia, ACT WAzalendo ipo, itakuwepo mpaka tuishike dola.
  11. M

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo haina uwezo wa kuchukua jimbo hata moja Kigoma

    Ilani ya chama chako na sifa zako za kijanja ni ipi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi zile operation za M4C zimeishia wapi? Au vichwa vimeondoka CHADEMA?

    Ilikuwa kila baada ya muda tunasikia operation mpya ikitangazwa, operation zilizokuwa zikijikita kuieneza chama cha kiharakati mpaka kupatikana kwa jina la M4C, lakini tangu kipigo cha mbwa mwizi cha chopa tatu kata tatu, kumekuwa na ukimya mkuu. Kipi kimewasibu hawa jamaa wa chama cha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Watanzania wanaofuatilia Siasa, ni nani atakuwa na imani na ACT Wazalendo?

    Mbona mnapoteana kwa ujio wa ACT, chama hiki ndicho chama cha siasa cha upinzani kinachofanya siasa
  14. M

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo haina uwezo wa kuchukua jimbo hata moja Kigoma

    ACT ndicho chama pekee chenye ilani ya Uchaguzi mkuu 2015
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Zitto na Mnyika nani mjamaa?

    Mbona maandishi yako yanakinzana na uhalisia alionao Mnyika, au ulikuwa unaandika huku umesinzia. Nani kakwambia kuwa mjamaa ni kuwa masikini? Ujamaa ni Undugu, na kuishi kindugu hakumaanishi umasikini.
Back
Top Bottom