Ila alijisahau sana, alitoa kauli zisizorixhisha kwa viongozi wenzie bila kujali japo amefanya mengi mazuri ila alishindwa kuelewa uongozi ni dhamana,
#tujitahidi kukumbuka tulikotokea na tusijisahau kwa vyeo tulivyonavyo
Tulikua tunacheza mchezo wa kupeana hela (upatu) wa 500k kila mwezi ila baada ya mizunguko kadhaa kuisha kuna ikafika zamu yangu kupokea ila katika washiri, mshiriki mmoja akaomba atanipa mwezi unaofwata kwani amekwama kutokana na matatizo yanayo mkabili.
Nikamwelewa lakini tokea pale ni miezi...
Asange mkuuu ila kuhamishwa ni ngumu ofisi zipo dar tu labda niache kazi na pia nilimaanisha hatakama ni mkoa wa jirani kama moro, dodoma sio lazima dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mfanyakazi katika mahali (mwajiriwa) hapa Dar ila kama unavyojua kwa maisha ya hapa mjini ajira pekee utachelewa sana kupata maendeleo hivyo nawaza kidogo nnachopata kwenye ajira huku nikitupie kwenye kilimo angalau kiongezeke ila sijui nianzie wapi hivyo niombe mawazo yenu wakuu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.