Recent content by MoshiR

  1. M

    tuongee asubuhi star tv

    Hujaeleweka mkuu, ulitaka wafanyeje maana naona walijitahidi kadri walivyoweza
  2. M

    Dar Technical na Technical College Arusha Mpo !!

    Kwani huyu Chrispin hapa nu yule aliemaliza TCA mwaka 94 na kina Sumo? Mimi Robert Moshi, nilimaliza 94 lakini nikiwa Automotive Engineering, napenda pia kuwafahamisha kuwa mwenyezi Mungu aliwachukua pia kina Mzee Lugundi, na Mzee Mkongwe aliekuwa Automotive
  3. M

    On Star TV: Ipi Misingi ya Amani Tanzania? Sehemu ya 3

    Hicho kizazi kina matatizo sana, unajua wao wameshiba kwa hiyo wanaona mambo yaendelee hivihivi, wanasahau kuwa kundi kubwa linaishi maisha ya taabu, halafu wanajifanya wanaijua amani sana, watu kama hawa hawapaswi kupewa nafasi yoyote ya kuongea kwani hawana hata chembe ya busara, wamenibore sana
  4. M

    On Star TV: Ipi Misingi ya Amani Tanzania? Sehemu ya 3

    Huyu mama anataka kutuambia polisi kuua ni sawa? maana anasema Wamechokoza nyuki, kwanza ni kina nani wamechokoza nyuki? ni wananchi au waandishi wa habari, na hilo jeshi la polisi liko kwa kuwalinda kina nani?, ni maswali ambayo kila mtu anaweza kujiuliza, Tanzania tuna watu akili zao ni...
  5. M

    On Star TV: Ipi Misingi ya Amani Tanzania? Sehemu ya 3

    Yahya hawa wazee wanaweza kuhatarisha amani ya nchi kwa kauli zao, Eti ITV....Hapo kweli unategemea kupata busara kweli? Tunazungumzia misingi ya amani ITV wamekujaje hapo, Next time changanyeni watu wa umri tofauti, hicho kizazi cha wazee kama hao hakina jipya, kiko nyuma miaka 47 iliyopita...
  6. M

    On Star TV: Ipi Misingi ya Amani Tanzania? Sehemu ya 3

    kauli za maisha bora yakawa bora maisha nazo zimechangia sana
  7. M

    Nape Nnauye asema umefika wakati wa UAMSHO na JUMIKI kufutwa na mrajisi wa Serikali ya Z'Bar

    Kweli kabisa, walijitahidi kadri ya uwezo wao kuupandikiza udini, sasa wanahaha kuuzima, hauzimiki huo hadi mtakapoondoka madarakani-kaka Nape huko hakukufai wewe bado kijana bwana, achana na hao wazee na chama chao
Back
Top Bottom