Matangazo ya mara kwa mara kuhusu El Niño yameanza kuwapa hofu baadhi ya wananchi. Wakati mwingine mtu anafikia hatua ya kusita hata kufanya mambo ya msingi kwa sababu anawaza, “Itakuwaje?” Maana ukweli ni kwamba, nyumba nyingi tunazoishi ni za hali ya kawaida tu na si kila mtu ana uwezo wa...
Shida ilianzia pale ulipoweka kidole mara ya kwanza na akasema umekosea. Pale alikuwa tayari kashasajili line hiyo ya airtel na ukiweka mara ya pili ndo ana deal na line yako. Wakishasajiri kwa mtindo huo Huwa wanaenda kuwauzia watu wasio na namba za nida na Wana huitaji wa line line asa asa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.