Recent content by MOSHIFST

  1. M

    Namkosea, lakini ndio inafanya ndoa yetu iwe na amani

    Wakuu kwema. Nataka kushare kitu kinachoniumiza moyo lakini sina jinsi. Nimeoa ni zaidi ya miaka 8 sasa, tuna watoto watatu na tunaishi vizuri tu ndani ya ndoa yetu. Kitu kinanachonitatiza akili yangu ni kuchepuka; hii tabia ilianza miaka km sita hivi iliyopita baada ya mke wangu kujifungua...
  2. M

    Abdala kichwa wazi anataka kuniabisha

    Wakuu. Niko hapa kwa majirani kwa rais anayewasumbua wale wenye timu iliyopigwa na timu ya wananchi jana Niko kikazi, nilifika hotel fulan standard but si kali sana ila bei kubwa, nilikuta pisi moja reception iko na sura ya kukidhi. Sasa jana nimelala, ile pisi ikawa haipo, leo imekuja basi...
  3. M

    Muda upi sahihi wa kufanya mapenzi baada ya kujifungua

    Mkuu inawezekana labda ni mtoto wenu wa kwanza but mwanamke akijifungua kuna mabadiliko mengi sana hutokea mpe muda; mimi huwa naacha miezi 6 kabisa yaani mpaka anianze ndo naanza kupelekea Moto. Ila sasa hii ilisababisha kuingie kwenye mchepuko, kiukweli niliacha kuchepuka baada ya mke wangu...
  4. M

    Ushauri wa Tiles Nzuri za Tanzania/China/India

    Hazina analytical thinking
  5. M

    Ushauri wa Tiles Nzuri za Tanzania/China/India

    Asante sana kwa usahuri
  6. M

    Ushauri wa Tiles Nzuri za Tanzania/China/India

    Cha spain nazikubali sana kaka ila kwa sasa nilikua nafocus midrange tiles zenye ubora unaofanania kidogo
  7. M

    Ushauri wa Tiles Nzuri za Tanzania/China/India

    Nimekosa mimi nimekosa mimi...nisamehe mkubwa wangu
  8. M

    Ushauri wa Tiles Nzuri za Tanzania/China/India

    Wakuu naomba msaada kwa wajuzi na watalaam wa tiles.. Ni tiles gani nzuri sana (imara na durable) zinatengenezwa Tanzania? Nahitaji zile bora hata za China na India. Kibanda changu kimefikia hatua ya kuweka tiles; nimepambana kwa 5yrs na imefikia hapa. Sijaingia bado ila umeme nishaweka, bado...
  9. M

    Nilitembea naye kweli, akapata mimba... Lakini natatizwa na hili

    Dogo leo mtoto wako. Kuna jamaa alipiga mimba mdogo wangu 16yrs ago. Jamaa aliikataa mimba, mzee wangu hana mambo mengi afu alikua na uchumi mbovu binti aliachishwa shule na jamaa kakataa mimba. Baada ya 16yrs jamaa karudi eti anataka mtoto; kiukweli tulichomfanya Mungu anajua. Hudumia mtoto...
  10. M

    No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

    Nina mke; degree holder, mwaka wa saba huu, tunalingana umri, namzidi mwezi mmoja tu. Msabato wangu hana shida; hana kando kando lolote mimi ndo nilishawahi kumliza miaka miatu iliyopita sababu ya mambo yangu. Nilikutana naye almost 12yrs ago akiwa amemaliza form 6, badae kaingia Chuo kapiga...
  11. M

    Kilimanjaro Hotel Korogwe bei ya vyakula ipo juu sana

    Mkuu Soda Bar inauzwa 1000 ila mtaani 500 why hujawahi lalamika? Sambusa ni 2000 leo nimekula sehemu moja inaitwa Maembe pale Moshi. Maji madogo 1000 badala ya 500 same to Kilimanjaro. Wanalipa kodi na risiti unapata uzuri wake
  12. M

    Kilimanjaro Hotel Korogwe bei ya vyakula ipo juu sana

    Bei ni kubwa ndio ila mimi niko radhi kulipia sababu ya sifa zifustavyo. 1.Usafi: Pale ni pasafi sana kuliko hotel zingine. 2. Huduma: Unapata huduma ya uhakika, nikilipia bei juu is okay for me. 3.Muda: Mabasi ya Kilimanjaro yanatoa dk 30 kwa abiria kwa ajili ya kula, mabasi mengine wanatoa...
  13. M

    USHAURI: Mimi ni mwalimu nimepatwa na majaribu nashindwa nivuke vipi

    Mkuu mimi si mtumishi wa umma ila kwa kulingana na maelezo yako hata hiyo kukusamehe na kukukata 20% walitumia ubinadamu na sio sheria. Kwanza Mwl ukifunga shule hutakiwi kuwa nje ya wilaya au mkoa wako wa kazi bila ruhusa; weww tu kwenda mkoani bila ruhusa ni kosa Pili; Ulipoumia ulitumia...
Back
Top Bottom