Recent content by moshi mkuu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Kumbe wew unahusika na haya mambo mkuu😳🙌
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ajira Jeshi la polisi

    Mm natumia laptop lKn leo ni wiki nimekwama kwenye kuattach cheti cha 4m6 mkuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ajira Jeshi la polisi

    Ee walisema wataweka portal sawa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ajira Jeshi la polisi

    Kama kuna mtu kwake portal ipo vzr atujuze wakuu maan kun wengin hatuelew ni device zetu au la maan walisema wataweka portal sawa sasa wengn hadi sasa tumestuck sehem moja
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ajira Jeshi la polisi

    Aliyeweza kuattach chochote leo atujue wakuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ajira Jeshi la polisi

    Kwako portal inafunguka?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Kwani ukiwnza upya inakuwaje?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ajira Jeshi la polisi

    Ata usik bado mtandao unasumbua mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Unajiongeza au wew ni nape nauye😅
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ajira Jeshi la polisi

    Ndio huwa hvy mkuu vp umekamilisha nini au unaconection😅
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ajira Jeshi la polisi

    Huwa ni mwaka au miez tisa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ajira Jeshi la polisi

    Hadi unapata nguvu ya kuuliza hivi kwamba wewe tyr umeshafanikiwa kuapply sio😳
  13. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Nimejaribu firefox naona bado nzito sasa ipi unahisi itakuwa nyepesi mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Ko tunaotumia crome haifai?
Back
Top Bottom