Hiki ni kilio kwa raisi naomba ututazame huku kwetu mbozi vwawa songwe tuna pata shida sisi wafanyakaz wa chini mahofisini
Hatujalipwa mshahara huu mwezi wa nne hakuna mshahara mpaka mabinti wanaanza kuuza mwili ili wajikidhi maisha yao jamani
Hebu fikiria miezi mi nne watu hawalipwi na hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.