Recent content by Moscow

  1. Moscow

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    Mkuu, hii siyo kweli. Makamba Jr. Ni pandikizi la mafisadi, RA na EL. Wao ndio wafadhili. nimepata report kali sana na punde ntaimwaga jukwaani
  2. Moscow

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    hii ya wakina makamba inatia huruma
  3. Moscow

    Kuelekea 2015: Tunaomba Daftari la wapiga kura lirekebishwe!

    hao wanaoipenda chama inabidi wasome alama za nyakati ili kuliokoa chama. dawa ni kufanya uandikishaji wa wapiga kura
  4. Moscow

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    Nimepata tetesi kwamba January anafadhiliwa na shemeji yake Rostam Azizi? Kama kweli basi tunalo. Ifike hawa jamaa mafisadi waanze kupigwa mawe
  5. Moscow

    Kuelekea 2015: Tunaomba Daftari la wapiga kura lirekebishwe!

    L Lukosi anatuchafulia chama
  6. Moscow

    Kuelekea 2015: Tunaomba Daftari la wapiga kura lirekebishwe!

    Tukimsimamisha mtu kama sittaa tutashinda
  7. Moscow

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    -Siyo siri kwamba wasaka urais wawili wakubwa ndani ya CCM, January Makamba na Edward Lowassa, wamekuwa wakizunguka nchi wakigawa mamillioni ya fedha kwa wananchi ili waungwe mkono katika mbio zao za urais 2015 -Siyo siri kwamba Bw. Makamba Jr. Alikuwa mtumishi wa umma wa kawaida, lakini baada...
  8. Moscow

    Kuelekea 2015: Tunaomba Daftari la wapiga kura lirekebishwe!

    Hawa watu siyo watu wa CCM. CCM hatuna misukulu kama ZeMarcopolo, chama, Ritz, sixgates, Chris Lukosi CCM ni chama cha watu makini, siyo hii mijitu mijinga mijinga inayotuvurugia chama
  9. Moscow

    Kuelekea 2015: Tunaomba Daftari la wapiga kura lirekebishwe!

    Ili tushinde kwa kishindi 2015, ni bora chama chetu dume CCM na serikali yake kupitia NEC kuboroesha daftari la wapiga kura kabla ya mwisho wa 2014. Hi ni kwa maana kwamba, kuna vijana wengi sana ambao wamefikisha umri wa kupiga kura ambao wataisaidia sana chama chetu. Vijijini ambako chama...
  10. Moscow

    ...Balozi Khamis Kagasheki katika hili umeonewa hatia yako siioni bado

    Waliomfukuzisha kazi kaghasheki ni Wachina waliokamatwa
  11. Moscow

    ...Balozi Khamis Kagasheki katika hili umeonewa hatia yako siioni bado

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Watu muhimu na wachapa kazi kama Balozi Kaghasheki wanalazimishwa kujiuzulu, watu kama kawambwa bado wanaendelea na nyadhifa zao.CCM wamemtoa Balozi kondoo wa kafara Serikali ya CCM imefanya kosa kubwa sana kumlazimisha Balozi kujiuzulu. Huyu angefaa kuwa waziri...
  12. Moscow

    Bunge Yalaani Mautumizi Ya Dola

    Kamati ya Bunge ya Fedha imelaani matumizi ya Dola za kimarekani ikidai kwamba matumizi ya dola inachangia kuporopoka kwa uchumi wa nchi yetu....Nakumbuka kusoma haya makala humu siku za nyuma
  13. Moscow

    Peoples Power: Wananchi Wagoma Kutozwa Tsh 2000 Kilindi Tanga

    Wafugaji wa kimasai katika wilaya ya Kilindi Tanga, wameigomea serikali kutozwa Tsh.2000 kwa kila ngombe ili kujenga mahabara. Wananchi hao wamegoma wakisema kwamba, serikali ya CCM ni ya kifisadi na haiaminiki kukusanya fedha. Bora wajenge mahabara yao kuliko kitegemea serikali ya CCM M Take...
  14. Moscow

    Majanga: Waziri Muhongo Asusia Ndege, Kisa, Kakosa Daraja La Kwanza

    Ben Saa 8. Huko Chadema, mimi CCM damu....Nakwambia, kama kuna mabadiliko kwenye baraza la mawaziri na huyu mtu akabaki kwenye hilo baraza, natupa kadi navaa gwanda. I swear to God ! Utaifa kwanza ! Huyu mtu kazidi matusi kwa watanzania. Kwani kabla ya uwaziri alikuwa anapanda nini, wakati...
  15. Moscow

    Majanga: Waziri Muhongo Asusia Ndege, Kisa, Kakosa Daraja La Kwanza

    Ben Saa 8. Huko Chadema, mimi CCM damu....Nakwambia, kama kuna mabadiliko kwenye baraza la mawaziri na huyu mtu akabaki kwenye hilo baraza, natupa kadi navaa gwanda. i swear to God !
Back
Top Bottom