Recent content by mosafi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wataalamu

    Dawa ni kama MTU anaumwa anapewa ili iweze kumtibu ugonjwa wake..... Na chanjo hii ni kinga dhidi ya ugonjwa fulani mtu anapatiwa kabla hajapata ugonjwa husika mfano... Polio,bcg, ant rabies( ya kichaa cha Mbwa) hizi ni chanjo... Dawa ni Kama PCM.metro..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikitaka tuonane anadai eti yuko bize

    Hii kitu zingatia sanaa maana inamaana.... Then jitahidi ata uwe unapendeza pendeza nini....yaani uwe smalt utavutia tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dawa hizi zitaweza kuwa na athari kwa ujauzito wake?

    Metronidazole tab( fraigil) Alu (mseto)alben za ninyoo miezi mitatu ya kwanza ni shida....
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kujitibu kichwa kilicho kushika ghafla na maradhi ya stress

    Young blood... Practice kwanza ukiona haikufai ndio uanze kusema hivyo... But its usefull Na inatibu....
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dawa hizi zitaweza kuwa na athari kwa ujauzito wake?

    Hakuna madhara mkuu.... Amoxy ni ant biotics Na ni Dawa baridi so haina tabu hataaaa.... Na iyo ant acid it can be magnesium nayo haina madhara so kua happy tu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mwanamke mwenye ujauzito akila asali mimba inatoka?

    Hili ni jipya kwangu tusubilie wazoefu watupe jibu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kifaransa - Somo la kwanza

    Kwa kuanzia greeting inatosha Sana.... Thanks
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa CAS-NACTE toka jana huku haufunguki

    Mbona inafungu mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jamani NACTE uthibitisho wa chuo mpaka lini??

    Msaada jamani
Back
Top Bottom