Utangulizi
Sidhani kama kuna mkoa ndani ya Tanzania,ambalo halijui show za (Kirikuu) yamekuwa chaguo la wengi wanaoanza au kuendesha biashara ndogo ndogo.
Na ni hali ya kawaida kwa wengi ambao wanataka kuanza bishara ya ubebaji mizigo masokoni, kuambiwa kuanza na kirikuu, yaani...
Habari Olsea
Kuhusu chaguo kati ya Premio T240 (1NZ) na Premio T260 (2ZR), zote ni gari nzuri lakini zinatofautiana kwenye performance, matumizi ya mafuta na gharama za uendeshaji.
Kwa upande wa matumizi ya mafuta:
Premio yenye engine ya 1NZ (1.5L) ina matumizi madogo zaidi ya mafuta. Kwa...
Utangulizi
BMW ni moja ya magari yanayovutia watu wengi kutokana na muonekano wake wa kifahari, uimara wa barabarani na “driving experience” yake ya kipekee.
Lakini ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kwamba, nyuma ya muonekano huu kuna gharama na majukumu ya kuitunza gari hii ambayo kama...
Mgunda Jr pole sana , tuliwahi kuelezea hayo mambo kwenye thread hii
https://www.jamiiforums.com/threads/je-wajua-maana-ya-taa-za-viashiria-hivi-kwenye-dashboard-ya-gari-yako-na-rangi-hizi-zinavyomaanisha-soma-hapa-tumekuwekea-ufafanuzi.2423218/
Unaweza kujisomea
Kwa msaada zaidi unaweza...
2008 Toyota Rush ni compact SUV inayopendwa na kuaminika na watu wengi sana. Ni gari inayojulikana kwa uimara, matumizi mazuri ya mafuta pamoja na gharama nafuu za matengenezo.
Hata hivyo, mara nyingi huwa inakosolewa kwa kuwa na nguvu kidogo kwenye engine, pamoja na kuwa na 4-speed...
Kama kichwa ch habari kinavyojielezea, hii ni moja ya gari nzuri sana za mjapan amabzo kwa hivi karibuni zimeanza kutamba sana hapa nchini TANZANIA
2016 Toyota Harrier ni gari nzuri na inayoaminika kwa wengi kutokana na sifa zake za ubora wa hali ya juu sana.
Ijapokuwa huwa inakumbwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.