Recent content by moriooo

  1. M

    Kwa wale waliosoma masomo haya...

    Habari wana JF, kama kuna mtu amesoma masomo tajwa hapo (community economic development/community development) kwa levo ya degree pls inbox me ur number, ili tuweze kuwasiliana zaidi na uwezi nitumia vyeti vyako.
  2. M

    Oral Interview Equity Bank

    we upo sehemu gani kwan? tembelea branch za benk utapewa majibu ya maelezo unayotaka.
  3. M

    Usipotumia njia hizi kuu tatu hauji kupata ajira milele

    GOD is the best tena ulitakiwa umuweke wa kwanza sio wa mwisho kama ulivyofanya.
  4. M

    Kwa wale wenye IMANI kwa mwenyezi MUNGU naomba kuuliza jamani!

    ni dhambi, unapaswa kumtegemea Mungu peke yake atatenda kwa wakati wake, kutoa kitu kido.go ni dhambi mtumain bwana nae atafanya.
  5. M

    tpdc

    habari wana jf mwenye taarifa zozote kuhusiana na tpdc kama wameshaita watu kwenye inteiview watujuze jamani.
  6. M

    Watoto wa kike,,tuwafiche wapi wasiyaone mapenzi

    kwa mtazamo wangu mi naona kama kutoa elimu ya ngono kwa watoto hawa itachochea zaidi wao kujiingiza huko, ila ushaur wangu nikuwaombea na kuwakabidhi mikononi kwa Mungu kila iitwapo leo, pia kuwalea katika njia zile zinazompendeza Mungu hakika wakiwa na hofu ya Mungu ndani yao wataogopa kufanya...
  7. M

    migration.

    asanten wakuu.
  8. M

    migration.

    habari wana jf, napenda kujuzwa kama kuna yeyeto anayefahamu kuhusu migration watatangaza lini tena kazi.
  9. M

    tpdc vp jaman?

    za kwenu wana j.f, vp tpdc hawajaita tu jamani, maana matangazo ya kaz ni mengi, lakin feedback kama watu wamepata au hawajapata ni kidogo cjui ni kwanini!
  10. M

    Mwachen Mungu aitwe Mungu

    Amen, mtumishi, kwake yeye kila jambo linawezekana.
  11. M

    Nini kina sababisha siku za hedhi kupitiliza kama huna mimba?

    pole sana ndugu, hl tatizo sio geni masikioni mwangu, kwani lilishawapata marafiki zangu kama watatu hv, nilisikia linatokana na kula chakula cha aina moja ila cjawah fanya uchunguz kuprove, we nenda hospital ukapime uone nini tatizo.
  12. M

    msaada please

    hellow wana jf, mimi ni mgen humu, nimemaliza chuo mwaka jana 2012 nimesomea digrii ya community economic development nimetuma maombi sehemu mbalimbali bila mafanikio naomben msaada wenu hata nikipata mahali pa kujitolea nitashukuru.
Back
Top Bottom