Recent content by mor112

  1. M

    Car4Sale Daf xf 95 480 for sale

    Yes the Price is negotiable, Call me and you can come to look at the truck in Temeke area, The truck is coming out of the port tomorrow.
  2. M

    Car4Sale Daf xf 95 480 for sale

    2006 daf xf95 480 horse power, super space cab, 6x2 midlift, tipping gear, manual gearbox Brand new from UK just came, the truck is still in the port of dar es salam, everything is paid including, vat, plate number, ready to work straight away. The truck is mine and no dalali. VERY GOOD...
  3. M

    Scania 124 L HP 420-Imetoka Leo Port Inauzwa

    Mkuu Weka bei tujue, kwa nini mpaka kuja kuiona ? unaficha nini ?
  4. M

    dereva mwaminifu waa malori anahitajika

    Natafuta dereva mwaminifu wa malori mwenye uzoefu wa miaka 10+ naa safari ndefu zaa nchi zaa nje, umri miaka 40 na kuendelea, kwa kuendesha lori moja yaa mtu binafsi, Lazima awe naa wadhamini wawili wa kuaminika. email. mhandule@gmail.com Asante
  5. M

    nyumba inahitajika

    Kaka Sijasema Katikati yaa Jiji, Inaweza kuwa near the centre, kama mbagala, tabata, namaaanisha nyumba mbovu mbovu, nnachojali sana ni kiwanja sehemu nzuri kwenye main road, I know property is very expensive in Dar but I am looking for somewhere where there is a potential for growth in the...
  6. M

    nyumba inahitajika

    Habari Natafuta nyumba chakavu in Dar ambayo iko barabarani kwenye mzunguko waa watu wengi ambapo unaweza kufungua biashara, Chaa msingi iwe sehemu Nzuri ambapo badae unaweza kujenga naa kuweka frames zaa vyumba naa kukodisha ama kufanya biashara mwenyewe. Budget yangu ni up to 40mil. Shukrani
  7. M

    Iveco stralis 430. 6x2 truck

    Mkuu Unauhakika Dumping fee haipo kwa gari yaa chini yaa miaka 10 ? Niliambiwa na clearing agent kwamba bado kuna uchakavu.
  8. M

    Semi trailer Tankers for Sale 40,000 Litres Capacity

    3 AXLE Aluminum CAPACITY : 40000 LTR Price 45Million Pm me for more info.
  9. M

    corrugated iron machine (Mashine ya mabati) na misumari

    Nataka ushauri jamani Nataka ushauri wakuu huhusu machine yaa kutenegeza mabati (corrugated iron machine) na misumari, (nail machine) Niliambiwa kwamba kuna kampuni inatengeneza mabati na misumari in Dar, na mabati na misumari mengine yanaletwa kutoka inje kama south africa, Je nikileta machine...
  10. M

    matractor kutoka ulaya

    Ndugu zangu watanzania, mimi naishi uiengereza, miaka 6 iliyopita natuma matctor yaa massey ferguson Tanzania, kama unataka nipigia simu, angalia attachment ya sample moja. Warm Regards
  11. M

    Biashara ya Power Tiller (walking tractors ) Nishaurini!

    hawa wachina wamesha anza kuingia JF Forum, Basi tumekwisha (Watch out Guys)
  12. M

    Biashara yaa fine beans Ulaya

    Naomba kuuliza ushauri, nafikiria kuanza biashara yaa fine beans kwa kuu export to London Uk, nimeshapataa wateja wanaotaka kununua hizi fine beans, Kitu muhimu ni lazima good quality, Naombeni ushauri wowote jinsi yaa kupata good reliable suppliers in Tanzania. Thanks in advance
  13. M

    Biashara ya Power Tiller (walking tractors ) Nishaurini!

    Jamani Nishaurini nataka kufanya biashara ya Power Tiller (walking tractors ) nemefanya Market Research kidogo nimeona kuna opportunity ya kupata faida kuuza, Nimepata sehemu yaa kunua kwa bei rahisi and good quality, I will appreciate very much ushauri woote Ahasante
  14. M

    Bishara ya HARDWARE ushauri

    na bisahara yaa ma used computers na laptop market yake vipi ? kuna ma competetion nyingi ? how much unaweza kuuza a used dell laptop Pentium 4, 250GB, 2GB RAM ? mimi naishi hapa london lakini natarajia kuja tanzania mwezi wa saba, asante sana
  15. M

    Bishara ya HARDWARE ushauri

    Asante sanaa kwa ushauri wako, lakini unajua kwamba huko mkoani ndiyo kuna opportunity nyingi nii bado watu wengi hawaja kwenda, Nii area gani unaweza uni shauri kufungua biashara aina hii katika mji waa dar ? Shukran
Back
Top Bottom