Bishara ya HARDWARE ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bishara ya HARDWARE ushauri

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mor112, Mar 6, 2010.

 1. m

  mor112 Member

  #1
  Mar 6, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Ndugu zangu naomba msaada anataka ni anze biashara yaa hardware yaa electricity equipment, construction equipment, agriculture equipment, nataka nitoe kutoka china na Europe, nataka nianzishe hardware shop hiyo katika wilaya yaa tunduma or mjini sumbwanga, budget yangu [/FONT]sh m40, please advise me which city is good for this type of business ? how much profit I can make ? is this a profitable bussiness ?
  [FONT=&quot]
  Asanteni sana[/FONT]
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Dar ni city nzuri kwa biashara nyingi, Biashara kuwa na faida (profitable) inategemea mambo mengi, la msingi hakikisha gharama zooote(fixed and variable costs) zisizidi, na kwa kweli ziwe chini ya mapato yote(toal income).Location(eneo) ni muhimu katika biashara yako,kwa mfano ukaweke duka lako juu ya mlima kule polini kule sumbawanga, nani atakuja nunua? pia unatakiwa ujue prospective customers, je kabla sijafungua natarajia kupata wateja gani hapa? Kuna mambo mengi siwezi andika yote
  uwe mwangalifu vinginevyo utaishia kwenye net Loss-hasara. Ukitaka zaidi tutafutane siyo hapa
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,231
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  WASILIANA na dada mmoja makini sana wa humu ndani anaitwa Charity!..Ni hayo tu.
   
 4. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,667
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160

  Mkuu kwa nini isiwe hapa wote tupate somo?
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 36,019
  Likes Received: 6,831
  Trophy Points: 280
  mkuu hii ni biahsra nzuri inalipa hasa mikoani
  nimefanya research nikaona watu wa mkoan wanakula hela sana
  utakuta mfano mbao huku tunanua 1 by 6 kiasi kadhaa arusha wao wanapima kw mita 1200...mbao moja unakuta unannunua mara 4 ama 5 ya orig price in dar
  ukitaka kuanza anza na mizigo ya kichina first inalipa sana baadae mix..itakusaidia mbeleni
  kuna baadhi ya watu wanataka mizigo kutoka out of china
   
 6. m

  mor112 Member

  #6
  Mar 6, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sanaa kwa ushauri wako, lakini unajua kwamba huko mkoani ndiyo kuna opportunity nyingi nii bado watu wengi hawaja kwenda,
  Nii area gani unaweza uni shauri kufungua biashara aina hii katika mji waa dar ?
  Shukran
   
 7. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #7
  Mar 6, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,754
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni biashara nzuri...sasa angalia pia rate ya ujenzi hayo maeneo ni vipi,pia usisahau advertisement ni muhimu
   
 8. m

  mor112 Member

  #8
  Mar 7, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na bisahara yaa ma used computers na laptop market yake vipi ? kuna ma competetion nyingi ? how much unaweza kuuza a used dell laptop Pentium 4, 250GB, 2GB RAM ?

  mimi naishi hapa london lakini natarajia kuja tanzania mwezi wa saba,

  asante sana
   
 9. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2010
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 425
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Mimi ningependa nipate ushauri kuhusiana na biashara ya zana za uvuvi,je inalipa ? ni sehemu gani muafaka karibu na bahari au karibu na Ziwa? wapi naweza kupata ushauri mzuri?
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180

  Yeah!

  Ndio maana JF wakaweka Jukwaa ; hapa ni kwa faida ya Watanzania wote!
   
 11. T

  Tall JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mikoa karibu yote nilishafika isipokuwa Rukwa, Mara na ile ya pemba,....wale wa mikoani wanafuata bidhaa Dar,Labda uwe na mjomba wako mtu mzito kule mikoani akupe tenda serikalini.
  Kwa Dar ile mitaa ya Kariakoo yenye msururu wa maduka ya vifaa vya hardware is the best place au pale mtaa wa India penye maduka ya hardware, maeneo hayo ukipata huwezi fulia/filisika. ukikosa nenda nje ya jiji wanakogawa viwanja kama vile mabwepande.
   
 12. T

  Tall JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  .
  Kwa sasa Tanzania biashara nyingi ni ngumu sana,prrofit margin ni ndogo sana,hapohapo ulimwe kodi kubwa na TRA mambo ya biashara ni magumu sana.Biashara nyingi mwisho wake zinafungwa,sikukatishi tamaa lakini,ukweli ni kuwa mjumba mengi yanauzwa kisa? watu walichukua mikopo benki wakafungua biashara wamechemsha .WAJANJA wachache wanafanikiwa, wanakwepa kodi,wananunua bidhaa kwa bei ndogo sana,au labda kwa njia zisizo halali na eeeh ngoja niishie hapa
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...