Recent content by mopey

  1. M

    Naombeni ushauri jinsi ya kumsahau

    pole sana fata hii itakusaidia kama mimi 1-futa namba yake. 2-usipende kukaa peke yako sana tumia mda. mwingi kujichanganya na friends zako or ndugu. 3-kuwa busy kwenye mambo yatayokuletea maendeleo. La ziada-jitahidi kuondoa mazoea i mean kama kuna mda flan huwa mna wasiliana or night basi...
  2. M

    Nemo-Baby sema

    jamani naombeni msaada wenu nimetafuta ninavyojua nyimbo ya Nemo baby sema ila sijafanikiwa so nahitaji mnisaidie link or mahala p kuipatia hiyo nyimbo.
Back
Top Bottom