Recent content by mooslam

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaana fundi wa kufunga milango

    Habari ya sahivi, Natafuta fundi wa kufitisha milango ya mbao,milango tayari ninayo ,iko miwili. Site iko kigamboni. Naombeni namba ya mtaalamu wa kazi. Sio dalali.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba code ya sportybet mechi ya france na England
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kubandika tiles za Garage (interlocking Garage Floor Tiles)

    Habari, Kama kuna fundi humu ,au mtu anajua fundi mwenye ujuzi wa kubandika hizi tiles za plastic za garage, Site iko Dar es salaam. Anichek PM.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kigamboni

    Ndio bei zake au tunaligwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kigamboni

    Uko sahii kabisa,kuna jamaa ana cha sqm 420 anataka 15m maeneo ya block 17 ila kimepimwa lakini hakina hati
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kigamboni

    Asante kwa ushauri .
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kigamboni

    Habari Zenu. Natafuta kiwanja kigamboni maeneo ya Geza au Kisarawe ii. Buget inaanzia mil 10. sharti kiwe na hati ya wizara. Mwenye nacho anichek pm
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dereva anahitajika Dar es Salaam, malipo ni makubaliano

    Ndugu zangu na wa shukuruni sana,kwa ushirikiano ,maombi yalikuwa mengi,lakini alhamdulillah amepatikana humu humu,na tayari tunafanya nae kazi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dereva anahitajika Dar es Salaam, malipo ni makubaliano

    Kwa muda mgeni atakao kuwepo,maana anaondoka tar za mwanzo mwezi wa saba, Lakini pia tutakuwa tukimuita kwa kazi zinapokuwa zinatokea.kama kufanya delivery au kumuendesha mtu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dereva anahitajika Dar es Salaam, malipo ni makubaliano

    Habari za leo, kuna rafiki yangu anahitaji dereva atakayekuwa analipwa kwa siku,au kwa week, maana ana mgeni wake ambaye anakuja week ijayo, hivyo anatakiwa awe anamuendesha, root ni za hapa hapa dar es salaam, ikizidi sana Bagamoyo. Dereva awe flexible yani kufanya kazi asubuhi, muda mwingine...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Graphic designer anahitajika

    Habari, mwenye ujuzi wa graphic designer, photoshoot na videographer anahitajika Nitumie mawasiliano PM. Eneo la kazi Dar es salaam. Full time job.
Back
Top Bottom