Recent content by mooozah

  1. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Nimekuja kaka naomba muongozo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

    habar ndugu naomba unisaidie module za Clinical medicine 0753206022(whatsapp)
  3. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    naomba kuuliza kuhusu TCU kuna mtu mwaka jana alichaguliwa kwenye chuo kimoja lakin kutokana na changamoto mbali mbali alishindwa kwenda kufanya usajili mwaka alipotaka kuomba tena aliingia kwenye ile akaunti ya kile chuo alichopata mwaka jana then akacancel admission kisha akaomba vyuo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri jinsi ya kupata G.P.A kubwa ukiwa unasoma clinical medicine

    Ndugu zangu wapendwa wanajamiiforums nina wasalimu. Mimi nilihitimu kidato cha sita na ufaulu wa Div 2.12 ya D flat(PCB). Napenda sana kusoma MD ila competition inanisumbua cha ajabu hadi kwenye vyuo vya private nako pia competition ipo. Nimefikiria kusoma C.O naomben ushauri wenu ili...
Back
Top Bottom