huyu mzee kachoka.yeye mwenyewe angolewe kwanza kwani haiwezekani akapata asilimia 100 katika uchaguzi.pili waliochaguliwa wote walichaguliwa na wanachama ambao ndio wenye chama.anataka sifa tu.ataiua CCM .hasira zake za kushindwa chaguzi alizoshiriki anazionyesha sasa.:A S-baby:
Hivi sasa karibu kila chombo cha habari yaani magazeti,radio,television,mitandao ya kijamii n.k inazungumzia malumbano ya kisiasa ama baina ya vyama au makundi ya urais 2015 n.k kila kukicha vichwa vya habari ni malumbano tu.jamani hebu tubadilike.turipoti mambo ya maendeleo,kuhamasisha wananchi...
kashindwa arusha na sasa anataka kutuletea balaa lake morogoro.wana moro hatumtaki na kama yeye jasiri ashinde kesi yake halafu ajigambe,au asubiri 2015.:evil::evil:
huyu mzee kachoka.hao hao anaotaka kuwatimua ndiyo waliompa kura zote kwenye mkutano mkuu.sasa itakuwaje?ina maana hata ushindi wake batili.:evil::iamwithstupid:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.