Recent content by Mookiesbad98

  1. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?

    Huyu bonge anatukumbusha Humprey Polepole alimsema sana kuhusu protocal yake ya kujitanua nyumba nyeupe na picha likapiga liakazirusha kwenye mitandao yake ya kijamii.
  2. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka, umekosa haya? Mahakama ni chombo huru na muhimu, omba kadi ya CHADEMA lakini sio kuhamasisha vurugu

    When a genuine phd holder says we listen.
  3. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Balozi Kaganda atembelea ofisi za TPA nchini Zimbabwe

    Ndio maana nyuzi zako ziko pro.mbogamboga kumbe wa ni wa.kitengo. Msalimie Afande Hussein Laizer
  4. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Heche adai mahakama inatumika kumkandamiza Lissu

    Naunga mkono hoja lakini in the world of spirit anayemuweka lissu ngome unaweza ukashangaa na.yeye siku.moja akawekwa ngome. They.say.what goes around comes around.
  5. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Siku mkija kugundua aliyetaka kutoa uhai wa Tundu Antipas Lissu sio Magufuli ila wahuni walitumia fursa mtakubali? Na leo wanataka kumnyonga

    Magufuli ndio muasisi wa task force za wasiojulikana. Ana mazuri lakini kwa hilo legacy hiyo.atabaki.nayo milele. Inawezekana haya wanayoyafanya gizani miaka ya.baadae yakawakuta.na wao. Hakuna mtu.alijua.senior legal council and Dr of philosophy Tenga atakaa rumande mida.mrefu. Kitilya...
  6. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Ni njia zipi za Kimahakama zinazoweza kufuatwa ili kutafuta haki kabla ya kwenda kuitafuta nje ya mfumo huo?

    Kwa bahati mbaya sana kesi ya lissu ina very.negative effects in the long run. Sidhani kama investors wa maana hawatatambua kwamba mahakama zetu ni kama proxy tuu zikifuata maelekezo ya wakubwa. Wenzetu wote wanatuona na kushangaa sana hali ya haki jinai inavyolwenda. Wenye mamlaka shtukeni...
  7. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mkandarasi aliyepewa mradi wa umwagiliaji Karatu na hajatekeleza, anyang'anywe pasipoti na ashikiliwe mpaka atapike pesa zetu

    Hayo alitakiwa ayajibu mwenyekiti wa bodi ya umwagiliaji ndg Raymond Mndolwa. Yawezekana mkandarasi ana changamoto au hajalipwa kwa wakati.
  8. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Hiki ni kitabu alichoandika Khamenei akiwa anaelekeza sheria ya ndoa

    Hawa kufira watoto na wake zao ni sunna. Lord have.mercy on us. Maudtaadh wa mdrasa wengi wana kesi ya kufira watoto kumbe wanafuata mila za ki persian
  9. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Majengo mengi yanayojengwa Dar es salaam hasa maghorofa hayavutii(hayana mvuto)

    Ukienda Harare zimbabwe mji msafi na hakuna bodaboda wanaamini zitaleta uchafu wizi na ajali.
  10. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Manyara ni Magoti aliyechangamka, kelele zote zile ila ndio mkoa ambao Waziri Mkuu amekuta madudu hatari

    Kwanza tuanzie.kwenye wasifu wake au.CV. Ukiona kiongozi anapiga kelele nyingi ili asikike ujue.hakuna kitu kichwani. Ila CCM imapenda kuteua watu.wasio na akili nyingi
  11. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa mkakati wa kudhibiti msongamano wa magari Dar es salaam

    G.J Malisa ameandika hivi karibuni ni kwanini tunaendelea kujenga barabara lanes chache yaani hiii ya bagamoyo ipigwe lanes 6. Na zingine foleni itapungua. Sasa njia ya tegeta kijenga lane moja moja ni upotevu wa pesa haitotatua foleni ya bunju asubuhi na.jioni
  12. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Hili "somo la kwanza” la Wakatoliki kwenye msiba wa Kardinali Pengo mbona kama lilikuwa limelenga kufikisha ujumbe flani?

    Sina shaka litakuwa limeandaliwa na Phd Charles Kitima mwalimu mbobezi wa sheria. Ni mwendo wa parable tuu biblia kuilewa inabidi kwanza usome agano jipya then umalizie agano la.kale
  13. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Kazi ya kutumikia nchi ni ngumu na ndio maana maaskofu mapdri na masheikh wapo

    Nchimbi anapoza upepo halafu pia ana kutumia rational thinking. Mbele ya hadhira kama ile ya makrdinali huwezi kuongea vijembe vya kibarazani. Unazidi kujimaliza na yeye ana hesabu za mbali kidogo japo ni.mnafiki
  14. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Majengo mengi yanayojengwa Dar es salaam hasa maghorofa hayavutii(hayana mvuto)

    Huwa najiuliza swali hili hili. Unakuta hata Egypt jengo analojenga mchina cairo ni zuri kuliko la.mchina oysterbay. We dwell on substandards. Iko kwenye DNA yetu haiepukiki
Back
Top Bottom