Recent content by moodito

  1. M

    JamiiForums Tanzania Unataka kufanana na wanachuo wa Tanzania

    Kwa ambae ampta elimu inayostahili na elimu hiyo.ikamkomboa huwez jilinganisha nae hta ukisafiri nje ya sayari kaka....lbda uzungumzie hao wanaofika chuo na kuwa watumwa wa elimu... but for a man hu have realy invest in his mind nd he z acting on wat he hv invest utangooja sana kua kama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ina maana wote tuwe walimu?

    Mwalimu ni priority coz baadae ile hela ya mkopo lazima akatwe kwenye mshahara coz hana pa kukimbilia weng wanaajiriwa tena serekalini. Sasa mtu wa Law kwa mfano wakimpa mkopo watampatia wap kurudisha coz anweza anzisha kampuni yake su hta akwa mwanasheria wa kujitegema so serekali ni ngumu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu appeal

    wat du you mean....jmn hbu acheni kulaumu watu hakuna anyependa hya yanayotokea yatokee....sasa ukimlaumu mtu asisome course flani eti kisa non priority hzo za priority watanzania wote tungeweza kusoma jmn....na nshangaa sana hii nchi eti non priority ni masomo ya art tu....ndo maana ufisadi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

    hapo hata sielwi yaan ......kwl public adiministration majina kumi na mbili tu jmn
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

    nchekie man s0140/0079/2011
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

    s0140/0079/2011 mohamed maulidy iddy chek out fo me plz
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

    mbna mzumbe wametoa majina mia tano tu jamn
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waliopata mkopo HESLB, Chuo Kikuu Mzumbe 2014/15

    mbna majina machache o link haijakamilika
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wale wa SUA mkopo huu hapa

    usaidiwe nn kaka mkubwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wale wa SUA mkopo huu hapa

    dah tumbo joto hapa...mzumbe lini
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wale wa SUA mkopo huu hapa

    nijuze boy vp tathmini.weng wamkosa au kupata samahani lakini
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaosoma masomo ya Sanaa, Kwanini tujutie maamuzi yetu

    So untaka kuambia uma wa tanzania kua masomo ya art hayafai kusoma?? Kuacha masomo ya sayansi ukiwa form three si vzur lakini si kwa sababu ulizozitoa hapo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe University Selection 2014

    Kaka naomba if possible niwekee mjina ya public adiminsration
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe University Selection 2014

    Mbna majina hayaonkani nsaidie mkuu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa Ardhi 2014

    mohamed maulidy iddy....nimaply land evaluaion
Back
Top Bottom