Recent content by moocha014

  1. M

    SCOAN TANZANIA (Prophet TB Joshua)

    Mbona nasikia TBJoshua amechagua mawakala wengine TZ? NAsikia kwa sasa mpo watatu, sasa kwa wewe kusema coordinator yupo mmoja tu ina maana unaita wale wawili kuwa ni fraudsters makusudi. Tafadhali, check vizuri na SCOAN wakueleze kuwa mpo watatu. Hawa wengine wakienda kulalamika kuwa umewaita...
  2. M

    Galaxy s4 for sale

    sio clone
  3. M

    Galaxy s4 for sale

    S3 mini tu bei Tshs 300,000, ila hapa zimeniishia kwa sasa, S4 mini nazo zimekwisha. Zimebaki S4 kubwa, nazo zimebaki chache sana....
  4. M

    Galaxy s4 for sale

    Clone hawatoi warranty mkuu!
  5. M

    Galaxy s4 for sale

    Clone hawatoi warranty mkuu!
  6. M

    Galaxy s4 for sale

    Du, Arusha itakuwa ngumu kidogo. Labda kama una ndugu dar akuchukulie. Ninauwezo wa kukutumia kwenye mabasi ya Kilimanjaro kama utaniamini!
  7. M

    Galaxy s4 for sale

    Hii ni Samsung Galaxy S3 mini. Ni size ya kati kama S4 mini lakini ni ya third generation. Haina tofauti kubwa na S4.
  8. M

    Galaxy s4 for sale

    Mkuu bei zake ni poa sana! You can't afford to miss one! Ziko chache sana...
  9. M

    Galaxy s4 for sale

    Nipo Dar. Nipigie 0653489335
  10. M

    Galaxy s4 for sale

    Simu za ukweli hizo, S4, S4 mini & S3 mini. Usipoteze muda, changamkia fursa hiyo!
  11. M

    Galaxy s4 for sale

    Nauza simu aina ya Samsung S4 kwa bei nzuri kabisa Tshs 500,000/=. Simu ni mpya kabisa na zimetengenezwa Korea na unapata warranty ya mwaka mmoja. Zimebaki simu chache. SIII Tshs 300,000/=. Kama unahitaji ni PM faster. Nipo Dar, Nipigie 0653489335 Kulia ni Galaxy S4 kubwa GT i9500...
Back
Top Bottom