Recent content by Moobed

  1. M

    Dah! hawa COET-UDSM, wamezidi sasa

    endelea kubwabwaja maneno bila kusoma tatizo watoto wa UDSM kulia lia kwingi shule hakuna. muwaulize wezenu waliokuja kwenye soko la ajira za makampuni ya mafuta kama schlumberger, hullibuton, beker hughers na BG Group tulivowagaragaza vijana kutoka UDOM petroleum engineering hatuna utani na...
  2. M

    natafuta kiwanja maeneo ya moshi mjini.

    kwa yeyote anayeweza kunipatia taarifa za kiwanja moshi mjini uelekeo wa kawawa kutokea moshi mjini kisiwe mbali na barabara kuu ya moshi dar na kiwe 5 - 20 km kutoka mjini moshi na 50 m kutoka barabara kuu ukitoa zile 30m za serekali. email marcus_obed@yahoo.com
  3. M

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Dalali wa nchi huyo. Anafanya biashara nje ya nchi.
Back
Top Bottom