Recent content by Montare

  1. M

    Zitto na hoja ya akaunti za uswiss

    Huyu soko lake kisiasa limeshaishia mwandiga.
  2. M

    Ushauri, njia ya kuelekea degree

    Dogo piga advance kupata chuo rahisi kwani mnapewa priority lakin ukijichanganya ukasoma makoleji yenu ya Amazon na Darstar college utakoma mdogo wangu.
  3. M

    TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

    Vijana mliotupwa second round mna husda sana.
  4. M

    Zipi ni faculty nzuri ambazo zpo kwenye soko la ajira Na aliyesoma EGM anaweza soma?

    Mamaweeeee! Wewe kijana unaweza kweli kusoma faculty? Au unataka uwe Mtanzania wa kwanza kusoma faculty?
  5. M

    Msaada kuhusu hili

    Mamaweeeeeee! Yani umedhamiria kabisa kusoma hicho chuo cha wakina kanjibai? Chuo hakitambuliki popote mkuu. Serious
  6. M

    Welcome to Mbeya University of Science and Technology

    Jamani acheni kulimisbehave neno "UNIVERSITY" sasa hadi vyuo vyenu vya VETA vya mafundi mchundo mnaviita university dah.. Kweli dunia hadaa.
  7. M

    CHADEMA Mbeya yapata pigo, mwenyekiti wake ahamia ACT-Tanzania

    Njaa tu zinamsumbua huyo si bure.
  8. M

    Serikali ya wanafunzi DIT yapinga matokeo ya supplementary

    Hongera vijana kwa kupigania haki zenu.
  9. M

    Soko la ajira Industrial Engeneering likoje ?

    Wewe acha wehu utaishia kufanya kazi viwanda vya wahindi, nenda kasome Civil
  10. M

    Naweza kuchaguliwa kozi ya tano niliyoomba?

    Heri uchaguliwe kozi mbovu lakini chuo kizuri kuliko kuchaguliwa kozi nzuri alafu chuo kibovu, Mfano sociology ya UDSM ni sawa na Civil Engeneering ya St.Joseph.
  11. M

    Mwenge University College of Education

    Ok ahsante kwa taarifa.
  12. M

    Natafuta mdhamini wa masomo

    Mungu atakusaidia mkuu, lakini usiendekeze masmartphones ukifika chuo.
  13. M

    Mwenge University College of Education

    Hiki chuo cha wapi tena? Vyuo vya kata bhana.
  14. M

    Naishukuru serikali ya CCM imenipa ajira

    Ccm haitoi ajira wewe elimika.
Back
Top Bottom